Hivi Simba SC mbona kama hawapo serious na usajili?

Hivi Simba SC mbona kama hawapo serious na usajili?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Hii club naipenda lakini naanza kuwachukia viongozi kwa sababu naona kama wana hila na hawana mapenzi mema na timu.

Kwanza kwa kumuacha Adebayo na kusingizia timu nyingine zimeonesha interest zaidi kwake na wakazidiwa dau.Pili Aziz K naye sasa ameshasajiliwa Utopolo.

Kibaya zaidi mmemuacha Morrison na nina uhakika hakuna mchezaji mnaweza kusajili mwenye uwezo kama Morrison kwa sasa.

Katika kutafuta kocha naona mnatafuta kocha ili mradi tu awe mzungu.Je mna uhakika hatakuja na masharti yake na chuki za kizungu kuchukia tu wachezaji asiowapenda?

Kama pesa hamna,kwa nini mlikataa zile bilioni za Azam?mnataka kutuletea akina George Mpole wachezaji wajinga wajinga wasio na attitude za mpira.
Simba mnatuchosha mapema sana
 
Hii yote imekuja kutokana propaganda zinazoendelea mitandaoni? Kwamba unaamini Simba Sc hawapo serious kwasababu wamemkosa Aziz Ki (kama unavyodai)?

Yanga imeshindana na vilabu vingapi vikibwa hapa Africa kwenye huo usajili kiasi kwamba uwaone wapo serious?? Usajili wa Simba Sc na Yanga huwa ni wa kukomoana siju zote, team A ikimsajili mchezaji basi hutengenezwa mazingira ionekane kwamba hata team B ilikuwa inamhitaji sana ili kutengeneza headlines.

We subiri Simba Sc nayo ifanye usajili kulingana ns itaksvyoona.

NB: Kwenye swala la kocha, nitaungana na wewe.
 
Kuna vitu havipo sawa pale,msimu uliopita viongozi waliweka siri ktk usajili kumbe matokeo yakawa hivyo wachezaji waliowaleta wanajua wenyewe, msimu huu unaoisha tunahitaji quality players lakini utasikia mara mchezaji yule hatukumuhitaji,au alitaka dau kubwa sasa wachezaji wazuri unawapata vipi bila kutoa pesa?

Wataweka usiri sana ktk usajili mashabiki tukiamini wapo seriously ktk kutafuta wachezaji ila utaona matokeo yake
 
Kilichobaki saiz pale Simba ni siasa tu hakuna jipya pale .

Wapigaji kila sehemu ,yaleyale wanaenda kuleta wachezaji wa mafungu alafu mbwembwe nyingi mitandaoni.
Huu msimu wakifanya ujinga km wa msimu uliopita niamini hata huko viwanjan watakosa sapot ya mashabiki ,na kimataifa wanaenda kuambulia aibu na lig kuu watakua wameamua kuwaachia watani zao kwa miaka kadhaa ijayo.
 
Hakuna jipya pale simba kwa Sasa hivi. Zimebaki siasa tupu za viongozi.

Viongozi wenye nia njema na simba hawawezi kugawanyika kumjadili Mugalu et abaki au aondoke.Mchezaji wa kigeni goli 0 ligi kuu bado unamjadili et abaki au la! Upuuzi mtupu.

Wachezaji aina ya Mugalu hapa Tz ni wengi mno lakini kiongozi anakaa kumtetea Mugalu apewe mkataba mpya halafu useme wako serious na usajili kweli?
 
Tatizo watz mumezoea kudanganywa
Sasa Adeboyor kama amewekewa dau kubwa na timu nyingine ulitaka wakuambie tumemsajiri ili wakufarahishe wewe?

simba ya sasa haipo hivyo sisi hizo zama za mawe za kugombania wachezaji na MAKABMWILI tushaziacha.
NB: WACHEZAJI WAZURI WAPO WENGI AFRICA SIO VICTORIEN NA KI AZIZ TU HAO WAMEPATA UMAARUFU KWA KUIFUNGA SIMBA .
 
Mashabiki wa Tz(kibongo) ni wajinga sana, nadhani hii inaletwa kukosekana kwa exposure miongoni mwao. Team imefanya vizuri ndani ya miaka minne na kuwapa burudani ya kutosha ila leo wanalalamika utafikiri wameikosa ubingwa kwa miaka kumi, au labda team ineshuka daraja, au pengine imeshindwa kufuzu CAFCL, DAAAAAH😄.

Pale Simba Sc kuna critical problems zilizotokea msimu uliopita, sasa watu wapo busy kutafuta ufumbuzi ila mashabiki mpo busy kulalamika mnataka Simba Sc ianze kushindania wachezaji, huu sio ujinga?

Wengine utasikia MO kaishiwa hela na sababu yenyewe ni kutomsajili Aziz Ki, haya hizo team kubwa zote Africa (Ahly, Wydad, Eserence,Mamelod, Pirates,Berkane...nk) zenye mpunga wa maana mbona hazijamsajili ikiwa kigezo ni pesa? MO anaishiwaje pesa kwa kitu merely kama kuongoza Simba Sc kitimu kidogo tu?

Acheni ujinga aiseeh, huko ulaya team zinakosa makombe miaka 30 au 10 lakini mashabiki hawawezi kuwa mentality za kijinga hivi.
 
Simba wamemsajili kinda huyu hapa goal mashine
FQHTSizWQAIpiLL.jpeg
 
Hii club naipenda lakini naanza kuwachukia viongozi kwa sababu naona kama wana hila na hawana mapenzi mema na timu.

Kwanza kwa kumuacha Adebayo na kusingizia timu nyingine zimeonesha interest zaidi kwake na wakazidiwa dau.Pili Aziz K naye sasa ameshasajiliwa Utopolo.

Kibaya zaidi mmemuacha Morrison na nina uhakika hakuna mchezaji mnaweza kusajili mwenye uwezo kama Morrison kwa sasa.

Katika kutafuta kocha naona mnatafuta kocha ili mradi tu awe mzungu.Je mna uhakika hatakuja na masharti yake na chuki za kizungu kuchukia tu wachezaji asiowapenda?

Kama pesa hamna,kwa nini mlikataa zile bilioni za Azam?mnataka kutuletea akina George Mpole wachezaji wajinga wajinga wasio na attitude za mpira.
Simba mnatuchosha mapema sana
Viongozi wa Simba wameshituka uwekezaji wa Mchongo wa Dk Mudi Dewuji....

Hawana Sauti na Timu yao, fedha za Simba ndio zinazungushwa na Dewji ktk uendeshaji Club...

Hawajui mikataba ya matangazo ya bidhaa za mwekezaji Dewuji Iko vipi na club inanufaikaje na mapato!!?

Bil 20 maelezo yake hayaeleweki....hisa zao 51 nguvu yake Iko wapi...yaani 49 ndio inafanya wao waonekane kazi yao kufungua mikutano na kufunga kwa mujibu wa Ndg Rage...

Yaani wamechanganyikiwa Dewuji kawabana hawana mapato yoyote kama club...mapato ni ya Dewuji Dk...

Wanahali ngumu mno...
 
Ko unataka kusema pale utopoloni Msolla ana sauti kama siyo kufungua vikao na kufunga tu? Tuwache ushabiki mandazi. yaliyoko simba ndo yaleyale yaliyoko Yanga . Sasa sijui huu ujasiri wa kuwanyooshea vidole upande mwingine mnautoa wapi!
 
Ukweli mtupu, naona msimu Mwingine deportive la utopolo wanaenda kuchukua ubingwa tena. Wachezaji simba wengi ni wa kufukuzwa yaani wengi hawana uwezo wowote zaidi ya kuipalilia yanga wachukue ubingwa tena..Mugalu,kagere,nyoni,wawa na wengine kibao watafutiwe mlango mwingine
 
Back
Top Bottom