Hivi Simba SC mbona kama hawapo serious na usajili?

Hivi Simba SC mbona kama hawapo serious na usajili?

Ninachokiona Msimbazi kwasasa ni weredi ñdio unafanya kazi. Kabla ya kusajili ni lazima uwe na kocha.
kinachotusumbua baadhi yetu ni uswahili tuliouzoea. Huo uswahili uliotamaraki kwa sasa uchurani ndio unafanya muone simba haipo serious. Binafsi naipenda style ya simba kwa sasa.
Mkuu kumbuka deal line tarehe 30 mwezi huu, leo tarehe 12

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Siku zote wachezaji wazuri wanagombewa. Ukiona mchezaji hagombaniwi na timu ujue huyo ni galasa
Anagombewa na team zipi? Hilo nalo ni swala la msingi sana kuzingatia.

Siku Tz mkifikia uwezo wa kumchukua mchezaji anaegombewa na Ahly, Wydad, Mamelod, Petroleos, Horoya, Pirates...nk hapo nitaelewa.

Na mchezaji wa kugombewa na hizo team kubwa ujue ana quality na hawezi kuja bongo.
 
Hata gsm ndio wale wale tu ,Hadi msola kaamua kujitoa ashaona upimbi unaoendelea ,na bahat nzur mashabik wanafurahia injinia kuwa rais Ila muda utaongea tu.
Simba na yanga ni wale wale tu kwa kila idala Hakuna wa kumnyoshea kidole mwenzio kote Kuna ujanja ujanja tu.
Nitajie timu yenye mafanikio makubwa duniani na mmiliki wake ni mhindi au anatoka India
 
Viongozi wa Simba wameshituka uwekezaji wa Mchongo wa Dk Mudi Dewuji....

Hawana Sauti na Timu yao, fedha za Simba ndio zinazungushwa na Dewji ktk uendeshaji Club...

Hawajui mikataba ya matangazo ya bidhaa za mwekezaji Dewuji Iko vipi na club inanufaikaje na mapato!!?

Bil 20 maelezo yake hayaeleweki....hisa zao 51 nguvu yake Iko wapi...yaani 49 ndio inafanya wao waonekane kazi yao kufungua mikutano na kufunga kwa mujibu wa Ndg Rage...

Yaani wamechanganyikiwa Dewuji kawabana hawana mapato yoyote kama club...mapato ni ya Dewuji Dk...

Wanahali ngumu mno...

si ndo huo huo uwekezaji wa mchongo wamechukua miaka minne mfululizo na robo fainali mfululizo
 
Hii club naipenda lakini naanza kuwachukia viongozi kwa sababu naona kama wana hila na hawana mapenzi mema na timu.

Kwanza kwa kumuacha Adebayo na kusingizia timu nyingine zimeonesha interest zaidi kwake na wakazidiwa dau.Pili Aziz K naye sasa ameshasajiliwa Utopolo.

Kibaya zaidi mmemuacha Morrison na nina uhakika hakuna mchezaji mnaweza kusajili mwenye uwezo kama Morrison kwa sasa.

Katika kutafuta kocha naona mnatafuta kocha ili mradi tu awe mzungu.Je mna uhakika hatakuja na masharti yake na chuki za kizungu kuchukia tu wachezaji asiowapenda?

Kama pesa hamna,kwa nini mlikataa zile bilioni za Azam?mnataka kutuletea akina George Mpole wachezaji wajinga wajinga wasio na attitude za mpira.
Simba mnatuchosha mapema sana
Ligi haijaisha huo usajili unafanya vipi ?

Timu haina kocha usajili unafanya kwa mapendekezo ya nani ?
 
Tuliofanya kazi na Wahindi kwa miaka mingi,tunaelewa anachokifanya Mo dewji pale Simba

mwacheni muhindi wa watu, yeye ndo kawapa kombe miaka minne mfululizo na club bingwa yeye ndo anaekomaa nalo kuliko wengine, mmeambiwa mchange mpaka sasa mmefika mil 90, yeye anatoa bili 4 kila mwaka peke yake nyie kwenye mitandao mmejikusanya mmefikisha mil 90 na ni mchango wa mda mmoja, yeye anatoa kila mwaka, mna shida gan kichwan?
 
Hii club naipenda lakini naanza kuwachukia viongozi kwa sababu naona kama wana hila na hawana mapenzi mema na timu.

Kwanza kwa kumuacha Adebayo na kusingizia timu nyingine zimeonesha interest zaidi kwake na wakazidiwa dau.Pili Aziz K naye sasa ameshasajiliwa Utopolo.

Kibaya zaidi mmemuacha Morrison na nina uhakika hakuna mchezaji mnaweza kusajili mwenye uwezo kama Morrison kwa sasa.

Katika kutafuta kocha naona mnatafuta kocha ili mradi tu awe mzungu.Je mna uhakika hatakuja na masharti yake na chuki za kizungu kuchukia tu wachezaji asiowapenda?

Kama pesa hamna,kwa nini mlikataa zile bilioni za Azam?mnataka kutuletea akina George Mpole wachezaji wajinga wajinga wasio na attitude za mpira.
Simba mnatuchosha mapema sana
Kocha yupi bora wa kiafrika unamtaka ?
 
Kuna vitu havipo sawa pale,msimu uliopita viongozi waliweka siri ktk usajili kumbe matokeo yakawa hivyo wachezaji waliowaleta wanajua wenyewe,msimu huu unaoisha tunahitaji quality players lakini utasikia mara mchezaji yule hatukumuhitaji,au alitaka dau kubwa sasa wachezaji wazuri unawapata vipi bila kutoa pesa?.Wataweka usiri sana ktk usajili mashabiki tukiamini wapo seriously ktk kutafuta wachezaji ila utaona matokeo yake
Mkuu kwanza unaifahamu bajeti ya timu pamoja na vyanzo vyake vya mapato au kikubwa timu isajili tu mchezaji hata nje ya uwezo wake wa bajeti.

Simba siyo Al Ahly kwamba hata dollar million itatoa kwa mchezaji.
 
kuchukua mara nne mfululizo sio mafanikio? kufika robo fainali miaka mitano mfululizo sio mafanikio? kabla ya huyo muhindi mlikua mnaishia wap?
Hata kabla ya Mo dewji kuja kuwekeza pale Simba washachukua ligi Mara tano mfululizo na hata kufika fainali ya Caf champions league

Mafanikio ya mpira ni kushinda vikombe au mataji makubwa kama lilivyo lengo la simba

Timu nyingi zinazofanya vzr duniani wamiliki wake ni waarabu kama alivyo Gharib Said Mohammed
 
🎙️JE WAJUA...

Ndani ya miaka minne Simba sc wakiwa mabingwa wa nchi wamevuna jumla ya Tshs 360m Kama Zawadi ya kuwa Mabingwa wa ligi kuu.

Ila Yanga ndani ya msimu mmoja tu wakiwa mabingwa watavuna jumla ya Tshs 600m Zawadi ya ubingwa wa ligi kuu.👌

NB;Aya makolo chambueni uwanja ni wenu Sasa.....Ila si mmeskia Trylater analalamika watu wanasafiri usiku kuchukua wachezaji ambao makolo wanawataka 😂wanamakolo tulieni tunaleta Kapama,,Odoh,,okwi..
 
Hii club naipenda lakini naanza kuwachukia viongozi kwa sababu naona kama wana hila na hawana mapenzi mema na timu.

Kwanza kwa kumuacha Adebayo na kusingizia timu nyingine zimeonesha interest zaidi kwake na wakazidiwa dau.Pili Aziz K naye sasa ameshasajiliwa Utopolo.

Kibaya zaidi mmemuacha Morrison na nina uhakika hakuna mchezaji mnaweza kusajili mwenye uwezo kama Morrison kwa sasa.

Katika kutafuta kocha naona mnatafuta kocha ili mradi tu awe mzungu.Je mna uhakika hatakuja na masharti yake na chuki za kizungu kuchukia tu wachezaji asiowapenda?

Kama pesa hamna,kwa nini mlikataa zile bilioni za Azam?mnataka kutuletea akina George Mpole wachezaji wajinga wajinga wasio na attitude za mpira.
Simba mnatuchosha mapema sana
kwenda zako wewe. Simba hatufanyi ishu zetu kwa kufata mkumbo wa Utopolo.
 
Wewe ni noya mkuu, boya tena boya haswa!!! Hujui kitu
Haya chiz maarifa ,yaan unavyoropoka utafikir upo kitengo Cha usajir kumbe ni kenge mmoja anayeishi kwa kuunga unga kitaani.
 
Ikiwa MO na viongozi aliowaweka ndio shida, maana yake ni kwamba akiwapisha ndo mtakuwa mnafanikisha usajili mzuri? Kwani ilikuwa ni lazima amsajili Aziz Ki?

Ikiwa Simba kufeli msimu mmoja kumewatoa akili kiasi hiki, kwanini nisiwaite wajinga?? Nyinyi ni wajinga tu, tena wajinga sana.

Huko nyuma Simba Sc haikuwa chini ya Mo mlipata nini zaidi ya kusindikiza ligi tu? Punguzeni ujuaji kwenye pesa za watu kutaka zitumike kama mnavyotaka nyinyi, ilihali nyinyi hachangii hata senti.
Yaan wewe ndio kiaz balaa ,kwahiyo Simba kabla haijawa na mudy haikuwah kupata ubingwa?
Uchawa kwa magabachori utawamaliza marinda yote.
 
Hata kabla ya Mo dewji kuja kuwekeza pale Simba washachukua ligi Mara tano mfululizo na hata kufika fainali ya Caf champions league

Mafanikio ya mpira ni kushinda vikombe au mataji makubwa kama lilivyo lengo la simba

Timu nyingi zinazofanya vzr duniani wamiliki wake ni waarabu kama alivyo Gharib Said Mohammed
Acha kujijaza kama vile hujui sysytem za michezo Tz, unasema hata nila Muddy Simba Sc ingeweza kuyafanya haya iliyoyafanya ndani ya hii miaka minne(Ligi+Caf)? Leo hii muddy akae pembeni ni nani anaeweza kuwalipa hao wachezaji wa kigeni mishahara hata ya mwaka mmoja?

Hapo Yanga mlitamba enzi za Manji mkawa mnajiita wa kimataifa na team tajiri Tz, alivyojitoa hamkutembeza bakuli ili kupata hela za kulipa wachezaji? Ndege mlipanda tena??

Sasahivi kaja GSM mnajisahaulisha tena, mnaona kama yanga inaweza kukiendesha yenyewe😂, itokee leo GSM kabwaga manyanga hakuna kitu hapo.

NB:Sio Simba Sc wala Yanga inayoweza kujiendesha yenyewe kibiashara bila wawekezaji matajiri.

Kwahiyo waacheni wenye hela wafanye maamuzi, nyinyi mbuzi kaeni pembeni msubiri matokeo.
 
Siku zote wachezaji wazuri wanagombewa. Ukiona mchezaji hagombaniwi na timu ujue huyo ni galasa
Anagombewa baada ya kumwona kwenye mechi mbili Alizokutana na Simba?
Au huelew maana ya kugombewa.
Yaan mtu aonekane mechi mbili ndipo umjue haswa na kuona sio galasa!!
Tukisema hapa bongo Kuna vilaza kibao utabisha ? Ukiwemo na wewe fuata upepo?

Unawajua wachezaji wanaojitangaza bila mechi mbili za kukutana na Simba?

Ukitaka kugombea wachezaji ambao sio magalasa fanya scouting bila kutegemea mechi za Simba hasa za kimataifa ,yaan unavizia mchezaji kwa mechi mbili gafla unampa utukufu wote na kumwona sio galasa.ungese huu
 
Back
Top Bottom