Hivi Simba SC mbona kama hawapo serious na usajili?

haya mpira wa sasa mnajifanya mnaibua vipaji au cio kama akina banda,kanote mtachua champions league
 
but ukweli ni kuwa hamsajili kwa pesa zinazoeleweka mnaokotana
 
Shida ni njaa za baadhi ya viongozi ,hapo mtu anayetetea mugalu abaki anawinda 10 percent kutoka kwa mugalu na washakaa kuwa acha nikupambanie lakin nikifanikiwa utanipa hiki na hiki,Sasa timu ya hivyo et inataka kufika mbali kimataifa si upumbavu huu.

Yaan mugalu ndie akufikishe mbali ,mchezaji anayecheza kwa kutumia minguvu badala ya akili !

Yetu macho ,Yale Yale mbwembwe nyingi mwisho wa siku wakamsajil chama tu.
 
Wewe ndie mjinga pia mshamba ,kwani hizo habar za akina aziz na adebayor walizileta mashabik au viongozi wenyewe kwa kutaka attention kwa mashabiki?

Tunachopinga hapa ni siasa kwenye mpira maneno mengi alafu vitendo zero.

Hakuna anayelalamika et ni lazima Simba iwe anachukua yenyew ubingwa kila msimu huo hautakua mpira Sasa.

Swala hapa ni userious wa viongozi wenyewe ,wanaleta siasa za kindez ili kuendelea kupata mtaji wa kiongelewa.

Kwan wnagekaa kimya na kusajir kwa uweled nan angelalamika?

Shida kutaka kuwafanya mashabik km mtaji wa kujizolea sifa za kipumbavu.

Siku nyingine acha kudharau wabongo maana sio wanaoleta huo upumbavu huku mitandaoni
 
Tuliofanya kazi na Wahindi kwa miaka mingi,tunaelewa anachokifanya Mo dewji pale Simba
Hata gsm ndio wale wale tu ,Hadi msola kaamua kujitoa ashaona upimbi unaoendelea ,na bahat nzur mashabik wanafurahia injinia kuwa rais Ila muda utaongea tu.
Simba na yanga ni wale wale tu kwa kila idala Hakuna wa kumnyoshea kidole mwenzio kote Kuna ujanja ujanja tu.
 
Wewe ni shabiki oya oya na bota uliyeshikiwa akili na manara... achana na simba sababu mi wazi kwako mchezaji anayetakiwa na yanga unaamini lazimana simba wamtake... unoya wa sgr huu...
 
Wewe ni noya mkuu, boya tena boya haswa!!! Hujui kitu
 
Ikiwa MO na viongozi aliowaweka ndio shida, maana yake ni kwamba akiwapisha ndo mtakuwa mnafanikisha usajili mzuri? Kwani ilikuwa ni lazima amsajili Aziz Ki?

Ikiwa Simba kufeli msimu mmoja kumewatoa akili kiasi hiki, kwanini nisiwaite wajinga?? Nyinyi ni wajinga tu, tena wajinga sana.

Huko nyuma Simba Sc haikuwa chini ya Mo mlipata nini zaidi ya kusindikiza ligi tu? Punguzeni ujuaji kwenye pesa za watu kutaka zitumike kama mnavyotaka nyinyi, ilihali nyinyi hachangii hata senti.
 
Ko unataka kusema pale utopoloni Msolla ana sauti kama siyo kufungua vikao na kufunga tu? Tuwache ushabiki mandazi. yaliyoko simba ndo yaleyale yaliyoko Yanga . Sasa sijui huu ujasiri wa kuwanyooshea vidole upande mwingine mnautoa wapi!
Utopoloni wanausika vipi na Mchoko wa Viongozi wa Simba....!?

Ukweli huwa unajisimamia wenyewe,, usikwepe Ukweli Dk Mudi Dewji amewapotezea focus Simba na uwekezaji wake wa kihindi hindi pale msimbazi
 
Siku zote wachezaji wazuri wanagombewa. Ukiona mchezaji hagombaniwi na timu ujue huyo ni galasa
 
Usiyempenda huwezi kuona jema linalotendeka kwake. Zaidi ni kumuombea mabaya
 
Ninachokiona Msimbazi kwasasa ni weredi ñdio unafanya kazi. Kabla ya kusajili ni lazima uwe na kocha.
kinachotusumbua baadhi yetu ni uswahili tuliouzoea. Huo uswahili uliotamaraki kwa sasa uchurani ndio unafanya muone simba haipo serious. Binafsi naipenda style ya simba kwa sasa.
 
Kula like ya nguvu mkuu...😀👍
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…