GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sio nguvu ni upumbavu bhana. Sasa hizi kelele za SAKARABORA, SAKARA nini sijui maana yake ni nini?PANYA ANATABIA YA KUNG'ATA NAKUPULIZA.
hayaa umepata mashabiki wa Katholik. na waislamu.
kuna Nguvu ambazo huwezi shindana nazo.
Umepata wapi muda wako ws Kupoteza kumjibu huyo Juha? Ukiona GENTAMYCINE simjibu Mtu jua nimeshamdharau 100% na hana Akili.Sio nguvu ni upumbavu bhana. Sasa hizi kelele za SAKARABORA, SAKARA nini sijui maana yake ni nini?
Lazima tuwe wastaarabu kidogo, unawezaje kukesha huku ukiwa na Spika?
Asante. Najua umeandika hivi ukitegemea nitakujibu hovyo kama ambavyo Mtu akjaa katika 18 yangu ila sitokujibu hivyo kwakuwa najua ID yako hii bado ni Changa hivyo unanichokoza Makusudi ili nijibizane nawe ili nawe ID yako ijulikane kwani GENTAMYCINE ndiyo mwanzisha mwendo na Watu wengi ( hasa Fools ). kama Wewe hupenda Kusafiria Nyota ya Umaarufu wangu mkubwa na Uliotukuka hapa JamiiForums ili kuzifanya IDs zenu ziwe Famous and Activated.We popoma poyoyo acha kuandika upusi tu mda wote, hizi ni pumba ukiona huwezi hama hakuna aliye kufungia hapo KubwaJ
Mkuu sikujui na wala hatujuani ila kwa Ulichokiandika hapa nina uhakika utakuwa ni very Intelligent Person na una Uwezo mkubwa wa Uelewa na Uchanganuaji wa Masuala / Mambo na hauna Upumbavu na Uwendawazimu kama alionao Uboboh ambaye ameshindwa Kuuelewa huu Uzi wangu na Kakurupuka Kuujibu.RC hawana mambo hayo, wengi ni walokole...
Na walokole wengi wana Stress na wameokoka sababu ya shida, kuimba huko ni kuondoa mawazo, akiacha tuu mawazo yatammaliza,
Hao ndio maana katika mahubiri yao kikubwa wanachoabudu ni kupata neema na sio upendo na kumpenda Mungu...
Ukishakua motivation Speaker una nafasi kubwa sana ya kua mchungaji wa haya madhehebu uchwara, maana ukitamka tuu miujiza ya maendeleo au kumponda adui, Haoooo vigeregere, shangwe na mipasho kanisa zima, wakitoka hapo na vidaftari vyao nyie wengine wote mmepotea.
Mchungaji/Dini yoyote inayokufundisha kujitenga na sio Kutengeneza ni ya KIPUMBAVU.
Wewe na kanisa hilo nani kamkuta mwenzake???Sio nguvu ni upumbavu bhana. Sasa hizi kelele za SAKARABORA, SAKARA nini sijui maana yake ni nini?
Lazima tuwe wastaarabu kidogo, unawezaje kukesha huku ukiwa na Spika?
Kwa 'Basha' wako au?Unejipendekeza.
Kila wakati ila siyo kwa Kukera Wengine.Mungu ni mwema