Hivi Sisi Wakristo na Waislamu nao huko Misikitini Kwao wangekuwa Wanakesha na Makelele kama Makanisani Kwetu tungewavumilia?


UKiona wanakubana we hama mkuu
 
Kwa umri huu unadhani matusi yananitisha??

Wewe tambua tu ni mjinga mmoja hivi unayejitutumua.

Katoto kajinga sana Haka.
Naona Dozi niliyokupa imeanza Kukulevya.
 
Idiot
 
Wote mnamapepo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
You nailed it.
 
Shida ukiwaambia wanapiga kelele wanaona una mapepo utashangaa wanakuja kukushika kichwa huku wanasema
ooooohhhh rabababababa eeeeeehhh shakalalalalalala
jeeeoooni ya leeeooo eeeeeeh usikooo wa leeooo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Adhana (swalaa) ni ya mda mfupi Ila inakera sana?? Rwanda wamepiga marufuku. Kuna makelele yanayopigwa kuhusu "ukafiri wa Wakristu" nalo ni kero. Wewe ni mkatoliki halisi! Hiyo michango ya mara kwa mara nayo ni kero. Waislamu hawafanyi biashara Ila Wakristu ni biashara. Naidhinisha, "hizi Imani tulizoletewa ni kero" japo walileta maendeleo ila kiimani ni danganya toto.
 
Sio nguvu ni upumbavu bhana. Sasa hizi kelele za SAKARABORA, SAKARA nini sijui maana yake ni nini?

Lazima tuwe wastaarabu kidogo, unawezaje kukesha huku ukiwa na Spika?
Warokole wanakesha na vipaza sauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…