Hivi sisi wenye Samsung galaxy 6, na iPhones tunachanganya post zetu Humu na wenye tecno na itel?

Watu mnakaa na visimu vya kuhongwa mnavimba kama mimba za mbilikimo bora itel na tecno ya jasho kuliko iphone na galaxy za kushikishwa ukuta.

Tena shukuru sana leo sipo kwenye mood ya kutukana.
Mkuu una itel nini
 
Mleta Uzi unikumbusha nilianzisha mjadala kwamba wanawake mala nyingi awako smart kwenye suala la life ujiona bora kutokana na makalio yao mwisho wa siku uhishiwa kutumiwa tu kidogo nipigwe but ulikua utani
 
Mkuu features za tecno ni sawa na za Iphone 7????
Hazifanani kwa upande wa OS. Ila ukirudi kwenye applications kuna apps ambazo mtu mwenye tecno na yule mwenye iphone wanazitumia bila tofauti eg. Whatsapp, facebook and the likes..
 
Mkuu kwan una itel wewe?
 
Hazifanani kwa upande wa OS. Ila ukirudi kwenye applications kuna apps ambazo mtu mwenye tecno na yule mwenye iphone wanazitumia bila tofauti eg. Whatsapp, facebook and the likes..
Hapa jukwaa la jokes mkuu
 
Hazifanani kwa upande wa OS. Ila ukirudi kwenye applications kuna apps ambazo mtu mwenye tecno na yule mwenye iphone wanazitumia bila tofauti eg. Whatsapp, facebook and the likes..
Mkuu hata magari yote yana ac, yana seats, yanatumia gasoline au diesel, yana power windows na mengine mengi tu yanafanana.
Lakini haimaanishi discovery 4 iko sawa na suzuki swift.
Just a joke mkuu...
 
mizozo mingine ya kupoteza mda, japo na mimi genuine i have my own iphone anayeleta mada sidhani kama alifikiria na kama alifikiria halmashauri ya ubongo wake haipo sawa ana ushamba wa simu hv apps gani utakayodownload kwenye samsung device ikagoma kwenye tecno au messanger ya kwenye samsung ina tofauti gani na ya kwenye tecno huo tunaita ni ulimbukeni wa smartphonee Raykidd de follow me
 
Mkuu hata magari yote yana ac, yana seats, yanatumia gasoline au diesel, yana power windows na mengine mengi tu yanafanana.
Lakini haimaanishi discovery 4 iko sawa na suzuki swift.
Just a joke mkuu...
Sawa mkuu, ndo maana kuna watu hununua gari la hadhi ya juu, na mwingine ananunua ilimradi usafiri [emoji1]

Sent from Nokia Tochi using Jamiiforums mobile app
 
Karibu kwenye jukwaa la utani

Sent from Nokia Tochi using Jamiiforums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…