Chemtrail
JF-Expert Member
- Aug 15, 2016
- 827
- 442
The bottom line is it does not make you a better person!Tofauti ipo kubwa tu, simu ya laki 2 huwez compare na simu ya 1.5m
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The bottom line is it does not make you a better person!Tofauti ipo kubwa tu, simu ya laki 2 huwez compare na simu ya 1.5m
Mkuu una itel niniWatu mnakaa na visimu vya kuhongwa mnavimba kama mimba za mbilikimo bora itel na tecno ya jasho kuliko iphone na galaxy za kushikishwa ukuta.
Tena shukuru sana leo sipo kwenye mood ya kutukana.
Labda anamzungumzia house girl wa Aliko DangoteKaulizie bei ya huawei P8 mkuu ukiambiwa uje utuhabarishe
Ila jf tunaingia kwa tochi zetu [emoji1]Mpo kwenye karne ya karl peter
Mkuu features za tecno ni sawa na za Iphone 7????Utakuta simu ya laki 2 ina Android 5.1 na ya milioni 1.5 ina Android 4.4
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Hazifanani kwa upande wa OS. Ila ukirudi kwenye applications kuna apps ambazo mtu mwenye tecno na yule mwenye iphone wanazitumia bila tofauti eg. Whatsapp, facebook and the likes..Mkuu features za tecno ni sawa na za Iphone 7????
Mkuu kwan una itel wewe?🙄 una Iphone/Galaxy 4.4 yeye ana Tecno/itel 5.1 nakuendelea nan mjanja???? wewe Una iPhone/Galaxy unaunga bundle la 500 ikizidi ni 1000 yule ana Tecno/Itel anaunga Bundle la 50000 nakuendelea na hawazi hata kidogo nan Mjanja???? Teh teh teh teh(Vijana Bhana!!) j
Tecno p3Mkuu una itel nini
Hapa jukwaa la jokes mkuuHazifanani kwa upande wa OS. Ila ukirudi kwenye applications kuna apps ambazo mtu mwenye tecno na yule mwenye iphone wanazitumia bila tofauti eg. Whatsapp, facebook and the likes..
hapana mkuu natumia Galaxy Tab 7 plus ila pembeni pia nina Vinco na ItelMkuu kwan una itel wewe?
Mkuu hata magari yote yana ac, yana seats, yanatumia gasoline au diesel, yana power windows na mengine mengi tu yanafanana.Hazifanani kwa upande wa OS. Ila ukirudi kwenye applications kuna apps ambazo mtu mwenye tecno na yule mwenye iphone wanazitumia bila tofauti eg. Whatsapp, facebook and the likes..
Poa mkuuhapana mkuu natumia Galaxy Tab 7 plus ila pembeni pia nina Vinco na Itel
Naelewa sana mkuu, ndo maana nimejua huu ni utani.Hapa jukwaa la jokes mkuu
Sawa mkuu, ndo maana kuna watu hununua gari la hadhi ya juu, na mwingine ananunua ilimradi usafiri [emoji1]Mkuu hata magari yote yana ac, yana seats, yanatumia gasoline au diesel, yana power windows na mengine mengi tu yanafanana.
Lakini haimaanishi discovery 4 iko sawa na suzuki swift.
Just a joke mkuu...
Karibu kwenye jukwaa la utanimizozo mingine ya kupoteza mda, japo na mimi genuine i have my own iphone anayeleta mada sidhani kama alifikiria na kama alifikiria halmashauri ya ubongo wake haipo sawa ana ushamba wa simu hv apps gani utakayodownload kwenye samsung device ikagoma kwenye tecno au messanger ya kwenye samsung ina tofauti gani na ya kwenye tecno huo tunaita ni ulimbukeni wa smartphonee Raykidd de follow me
Angalia usije chukiwa na kutengwa maisha yako yote hapa jfNi haki kweli hii wakuu?