G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,795
- 36,704
Naona Rais anajipendelea balaa. Social distance ni yeye pekee. Wengine tunaambiwa ni kovidi frii. Siku hizi hata mic anayo ya kwake peke yake na hata Maris wa nchi nyingine hawaruhusiwi kuitumia (Refer siku ya kuapishwa kwake)
Any way naona Mheshimiwa anajipendelea yani anajihakikishia usalama Mia kwa mia. Na likichacha basi unaona route ya njia ya kati kuelekea mpakani inakamatwa fasta.
Siku hizi naona na ka potabo eisii kanawekwa pembeni kabisaa!