Hivi "Social distance" ni kwa Rais pekee?

Hivi "Social distance" ni kwa Rais pekee?

Kuna waliokuwa wanamsifia jamaa kaimaliza Corona, tena wakawa wanajinadi kwenye kampeni.

Hebu tuwaulize hiyo distance aliyosimama amefanya hivyo kwa nini?!

Halafu kila alipo na feni ipo, shida nini!
we jamaa unaropoka bila kuwa na ushahidi hii ni leo wakati wa kuapishwa ni social distancing gani unayoizungumzia? ukiwa na tuhuma uwe na vithibitisho sio picha moja umeconclude huo ni ujinga ambao tunaukataa siku zote
Screenshot_20201116-194041.jpg
 
Naona Rais anajipendelea balaa. Social distance ni yeye pekee. Wengine tunaambiwa ni kovidi frii. Siku hizi hata mic anayo ya kwake peke yake na hata Maris wa nchi nyingine hawaruhusiwi kuitumia (Refer siku ya kuapishwa kwake)

Any way naona Mheshimiwa anajipendelea yani anajihakikishia usalama Mia kwa mia. Na likichacha basi unaona route ya njia ya kati kuelekea mpakani inakamatwa fasta.

Siku hizi naona na ka potabo eisii kanawekwa pembeni kabisaa!

View attachment 1627673
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Sisi ambao tumesomea kazi ya kuona wagonjwa, kwa kutizama uso tu, tunakuhakikishia kuwa huyo jamaa ni mgonjwa. Tena sana...
we jamaa unaropoka bila kuwa na ushahidi hii ni leo wakati wa kuapishwa ni social distancing gani unayoizungumzia? ukiwa na tuhuma uwe na vithibitisho sio picha moja umeconclude huo ni ujinga ambao tunaukataa siku zoteView attachment 1627890
 
Utaumia sana wewe kijana,kikubwa pambana kutafuta pesa na kuijenga chadema iliyokufa kifo cha mende,kwa mwenye akili timamu hawezi tafuta usawa na rais unless uwe na dishi lililoyumba,

Duniani hapa hakuna usawa lazima ulijue hilo kuna wale wa first class na Siku zote watakuwa first class,tambua kuwa hata mbinguni ambako tunaambiwa kuwa kuna haki na usawa nako kuna madaraja/ Matabaka ,yaani watawala na watawaliwa ,sasa ijekuwa duniani ?
 
Bila hilo feni mifumo ya mwili inaleta mgogoro.
Zile kauli tata feni inakuwa imezima nini? Maana zipo kauli ambazo hata nikipiga chupa nzima ya Jack Daniel siwezi zitoa hadharani
 
Back
Top Bottom