Ungezungumzia viwanja ningekuelewa ila kusema yanga mbovu hapanaNadhani unaiongelea hii ya yanga leo, ni mechi mbovu sana kwakweli
Wenye skills bongo Ni wengi Sana Tena Sana. Tatizo nguvu. Miili na misuli haikuandaliwa tangu utotoni kwa ajili ya kucheza mpira.Wachezaji wetu wana stress, hawana lishe bora, hawana skills, yaani wamo uwajani ili tu waandikwe magazetini
labda kama umeuliza kujifurahisha mtu unafananisha ligi ya epl na nbc pl? kuanzia kwenye viwanja, uwekezaji wametuacha mbali sana yaani sawa na kumfananisha fei toto na iniestaNimetoka kuangalia hiyo ya yanga sasa naangalia ya liverpool vs brentford naona ni vitu viwili tofauti