MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Katika mechi ya leo UEFA eti odds wamezigawa hivi.
Madrid-2.08
Draw-3.78
Liverpool -3.01
Leo kuna watu wanawapiga hawa jamaa mamilioni bila huruma, tayari nimeweka 20,000 asubuhi kesho nimeshapata elfu 60 ya kusogezea wiki ijayo, ningekuwa nina mtaji ningejilipua milioni 30 Jumamosi halafu Jumapili naenda kununua nyumba ya milioni 80.
In short there is no chance in the world Madrid anaweza pita bila kufungwa goli za kutosha.
Kama leo kingeitwa kikosi cha mpira duniani basi wachezi watatu wa mbele wangetoka Liverpool.
Profesa mmoja wa chuo kikuu cha Cambridge alisema kama kuna timu duniani inataka sahihi ya Firminho, Mane na Salaah kwa wakati mmoja itabidi iwe na kiasi cha euro bil 1.5 .