Hivi sportpesa wanajielewa kweli,ebu ona hii kosa la kiufundi waliofanya.

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Posts
6,661
Reaction score
21,656
Katika mechi ya leo UEFA eti odds wamezigawa hivi.
Madrid-2.08
Draw-3.78
Liverpool -3.01

Leo kuna watu wanawapiga hawa jamaa mamilioni bila huruma, tayari nimeweka 20,000 asubuhi kesho nimeshapata elfu 60 ya kusogezea wiki ijayo, ningekuwa nina mtaji ningejilipua milioni 30 Jumamosi halafu Jumapili naenda kununua nyumba ya milioni 80.

In short there is no chance in the world Madrid anaweza pita bila kufungwa goli za kutosha.
Kama leo kingeitwa kikosi cha mpira duniani basi wachezi watatu wa mbele wangetoka Liverpool.

Profesa mmoja wa chuo kikuu cha Cambridge alisema kama kuna timu duniani inataka sahihi ya Firminho, Mane na Salaah kwa wakati mmoja itabidi iwe na kiasi cha euro bil 1.5 .
 
Ronaldo benzema na Bale unaweza linganisha na hao wachafu?
 
Subirini kwanza: hivi hapa mnajadir nini?
Mi naona madudu sielewi hata kidogo
 
Zikipita dakika 60 liver hajaongoza basi kombe lileee kwa Madrid

Japo muda utaamua hasa dakika za mwanzo ambazo liver hufunga magoli zaidi ya matatu
 
Back
Top Bottom