Hivi sportpesa wanajielewa kweli,ebu ona hii kosa la kiufundi waliofanya.

Leo CR7 atajizolea misifa mpaka basi,Mo SALAH atakumbana na beki mhuni RAMOS and he will be totally blanked!mpaka kipyenga cha mwisho,liverpool fans mtabaki mmejishika viuno,hapo ndo mtajua ni kosa kubwa sana kuingia na madrid uwanjani huku ndoo imewekwa hadharani.
 
Tayari SALAH ashafanyiwa yake na RAMOS
 
Utabiri wangu unakaribia,RAMOS kashafanya yake!
 
Mkeka umechanwa,ndoto ya buku 60,000 imefutwa leo unalaza watoto njaa
 
Mkuu makampuni ya Betting wana akili nyingi mno hao Huwa hawakosei kirahisi hivyo.Hizo Odds zilikuwa sawasawa.
 
Waeleze hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…