Wadau nashindwa kuelewa kwanini tuna jikuta tunaingia kwenye mahusiano ya kipuuzi namna hii hivi kweli ni maadili ya afrika ndo yamefikia huku kweli jaman mkwe wa mbunge wa mbeya ,mjini sugu anatangaza mtandaoni kua ana hamu ya kufanya mapenzi na kuona hii hali ni ya kwaida kwake watu tusishituke kabisa
kwa anaye mjua huyu dada jaman atujuze wadau ana tatizo gan na pia akwanywe aache tabia mbovu
kwa anaye mjua huyu dada jaman atujuze wadau ana tatizo gan na pia akwanywe aache tabia mbovu