Hivi Sugu alipata wapi mwanamke wa namna hii?

Hivi Sugu alipata wapi mwanamke wa namna hii?

askali

Member
Joined
Mar 19, 2015
Posts
12
Reaction score
10
Wadau nashindwa kuelewa kwanini tuna jikuta tunaingia kwenye mahusiano ya kipuuzi namna hii hivi kweli ni maadili ya afrika ndo yamefikia huku kweli jaman mkwe wa mbunge wa mbeya ,mjini sugu anatangaza mtandaoni kua ana hamu ya kufanya mapenzi na kuona hii hali ni ya kwaida kwake watu tusishituke kabisa

kwa anaye mjua huyu dada jaman atujuze wadau ana tatizo gan na pia akwanywe aache tabia mbovu
attachment.php

attachment.php

 

Attachments

  • fe.JPG
    fe.JPG
    48.3 KB · Views: 9,680
  • fed.JPG
    fed.JPG
    44 KB · Views: 9,554
Sungu walishaachana na huyo mzazi mwenzake so mwanamke yupo Disparate sana kawa kama chizi mtandaoni.
 
Ukiachwa na mtu ambae still unampenda vitu kama hivi utokea...bado anaweweseka kwa penzi la sugu huyu
 
Ndio maana sugu kaamua kumbandua hemed phd
 
Dah,,,sasa kama ana hamu ya sex mpaka atangaze mtandaoni?dah,kama ndo kujitafutia umaarufu kwa ulimbukeni huu ni sheeeeeedah..
 
Back
Top Bottom