inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
huyu dem ana sura ya kiume kumbe!!..rangi ilikua inanichanganyarah p yuko houston texas na watoto wawili bahati mbaya mume wake yuko jela
huyu jamaa namkubali sana..alhamdulillah kamrudia mola,eti 'mbwa kapigwa na njiwa mabuga'kali p
OMGHuyu jamaa alishafariki kitambo
Wapi hiyo njemba?Pig Black
Hapana alikuwepo mdogo wake insp haroun alikuwa anaitwa sideboyHivi hii ngoma na dogo hamidu alikuwepo au sio?
Saigon saiz kaachna na mambo ya dunia yuko tv imaanBalozi yuko kwa Trump,ila Saigon sijui kapotelea wapi
Sure jamaa alikuwa na voice fulani hivi inapenya sijui washauri au nini kilimwondoa kwa game!Mchizi MOX alikuwa na sauti ya kipekee, yaani angekuwa anajua angetulia na kupiga noti sana
Anatumia jina gani halo tv imaan?Saigon saiz kaachna na mambo ya dunia yuko tv imaan
Saigon anapiga mkekaSaigon na balozi wapi jamani???kitambo sana
Wanasema jamaa kawa shekheMwambieni Saigoni aandae kipindi E -fm cha hiphop au tumpe na jina kipindi kbsaa.....basi akiite strictly hiphop...from there Majizo awe anaandaa matamasha yearly ya hiphop atakuwa pioneer and will get him some money sijui yu wapi huyu jamaaa....ebwana dah ...
Mziki huu ulianza kuwika huku na sisi tukiwa tunakua ndio maanaSawa kabisa mkuu una kumbu kumbu sana
aiseee huyo mamu shoga kweli unakosaje album za hawa wasanii wetu wa kitamboB
nilishawahi kwenda mpaka kwa mamu store kuulizia eti na yeye album za zamani hana ila wosia baadhi ya nyimbo ninazo ngoja nikitulia nitaziweka apa
Hana hata moja anaboa mbaya mwana fa nishawahi kumuuliza twitter kuwa album yake ya unanitega ntaipata wapi akasema kwa mamu nikaenda zangu mpaka kariakoo kufika anadai hana amejaza ma bongo movie tu na album za vijana za juzi juziaiseee huyo mamu shoga kweli unakosaje album za hawa wasanii wetu wa kitambo
Mkuu kwanini alijiua?Ok nimekumbuka John mjema ndio alijiua, ila sio hiyo alieimba akwelina
Mkuu kwanini alijiua?
Huyu nadhani alifarikiakikujibu nitagi. Mi namtafuta V2 alieimba "nasonga mbele"akikujibu nitagi. Mi namtafuta V2 alieimba "nasonga mbele" V2 - Nasonga Mbele | Download | ALHAMIS EXCLUSIVE | Bongo Exclusive
Computer yupo km miezi miwili iliyopita alifiwa na baba akeWee jamaa wa kitambo sana wosia ilikuwa na nyimbo kumi kama wosia, bahati ya mwenzio,rudi mpenzi,manjumati,kitambo kidogo,
Jamaa walikuwa wanajua wakaja toa album yao ya pili BDP kamili na nyimbo kama majobless, kumwimbia,kichwa cha chief,maimuna ama kweli ya kale dhahabu
Drezzy chief nasikia yupo mbeya anauza mitumba tu huku cronic akiwa dar computer sijui yupo wapi