Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 10,017
- 18,537
Umechanganya mafaili kaka.....Ya kwel haya huyu si ndio john mjema au nimekosea alieimba wachumba 30 au nimechanganya mambo maana imekuwa kitambo huyo ndio aliifariki,usijar watakuja wanaojua watanisahihisha
Amekuwa kama Hashim Dogo wa kikosiSaigon bonge la Ustaadh siku hizi.
dola soul..yupo mbele kitambo...s unajua balozi kwake ubalozini...ila jamaa ni hatari sana af kawa inspire maraper wengi wamiaka katkaSaigon na balozi wapi jamani???kitambo sana
saigon ni ustadh skuiz kaachana na ivo vitu...mhubiri wa dini ya kiislam anafanya inspirational talkBalozi yuko kwa Trump,ila Saigon sijui kapotelea wapi
Finland...OCD -aqwelina eenhee
OCD-kizaza
Yupo wapi huyu
Wacha uchawi wewe... Kamanda yupo hai, anaishi na kufanya kazi zake FinlandHuyu jamaa alishafariki kitambo
Huyo ni inspekta harounkuna thread nliiona wanasema jamaa anauza chips sinza au mbagala kama sikosei
Saigon kaacha mziki na sasa yupo kidini zaidi kama mzee yusufu. Angekuwa mkristo ungesema ameokoka. Balozi anaendelea na mziki na katoa ngoma nyingine.Balozi yuko kwa Trump,ila Saigon sijui kapotelea wapi
Jose Mtambo hivi sasa ni mlevi wa gongo tena aliyepitiliza sidhani kama kaacha.Ukimpata nitafutie pia
Jose mtambo wa kigambonino
Mnyalu
Caz T
Wale wanyama wa BDP (big dog pond)
Dula soul
Na wanyamakwinqwi wengine wa jamii ya hao niliowataja
Usimpe pole. Mpe hongera na umtakie mema huko anapofanya shuhuri zake coz ni harakati tu za maisha.Du pole yake , ndio mana yuko kimya sana aisee
Ni OCG si OCDOCD -aqwelina eenhee
OCD-kizaza
Yupo wapi huyu
SiyoYa kwel haya huyu si ndio john mjema au nimekosea alieimba wachumba 30 au nimechanganya mambo maana imekuwa kitambo huyo ndio aliifariki,usijar watakuja wanaojua watanisahihisha