Hivi Suma G uko wapi?

Hapo alikosea dawa ya tatizo ni kulikabili na kulitatua,huko alikojiingiza ndio kajimaliza kabisa
 
Hapo alikosea dawa ya tatizo ni kulikabili na kulitatua,huko alikojiingiza ndio kajimaliza kabisa
Stress ndiyo chanzo, yaani katumia ubongo wake kutunga, kashughulisha pumzi zake za mdomo wake katika kutoa sauti nzuri ya kuimba. Mjinga mmoja anakuja kuiuza albamu nzima kilaini. Lazima stress ikupate
 
Ni sawa ila angeangalia utaratibu mwingine sio kujizira namna hiyo
 
Ni sawa ila angeangalia utaratibu mwingine sio kujizira namba hiyo
Tuna mioyo tofauti wanadamu usimlaumu, huenda hata uamuzi utakaochukua wewe kwenye hali fulani ukaonekana ni mbaya. Mitazamo ni kinzano, ila uchungu wa shubiri aujuaye mwonjaji.
 
Mwenye wimbo wa darasa huru, mwingine unaimbwa ho ha heee,nyingine chorus anaimba wanachonga chonga sana jose mtambo sijui kama nimepatia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…