shirley myles
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 916
- 612
Kibonge Saigon umemjulia wapi?Saigon na balozi wapi jamani???kitambo sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kibonge Saigon umemjulia wapi?Saigon na balozi wapi jamani???kitambo sana
Hamna sio inspecta bwana, ni josleensawa muheshimiwa
Ni josleen sio inspectaHuyo ni inspekta haroun
Hâta inspekta anajiko mbagalaNi josleen sio inspecta
KwenuKibonge Saigon umemjulia wapi?
Kwani tuna ugomvi Dada yangu?Kwenu
Hiyo sikujua hiyoHâta inspekta anajiko mbagala
Sikumbuki kama tunaugomviKwani tuna ugomvi Dada yangu?
Hapo alikosea dawa ya tatizo ni kulikabili na kulitatua,huko alikojiingiza ndio kajimaliza kabisaJose Mtambo hivi sasa ni mlevi wa gongo tena aliyepitiliza sidhani kama kaacha.
Muziki aliacha kuimba baada ya kutapeliwa na promota wake aliyeuza albamu nzima kwa Mhindi. Tena bila kupata hata senti, Mhindi naye akamtosa hata alipojua mwimbaji ni yeye na kwenye kasha ka albamu kuna picha yake.
"Ya nini niimbe halafu faida wanapata wengine, mimi sipati chochote", maneno yake aliyoyasema baada ya kukata tamaa kabisa ulevi ukawa ni suluhu yake.
Nimekulewa mkuu. Tupo pamoja.Nampa pole kwa sababu kuna mdau anasema alifiwa na mkewe pamoja na baba yake ndani ya muda mfupi
Sasa mbona unanijibu kunyaSikumbuki kama tunaugomvi
Stress ndiyo chanzo, yaani katumia ubongo wake kutunga, kashughulisha pumzi zake za mdomo wake katika kutoa sauti nzuri ya kuimba. Mjinga mmoja anakuja kuiuza albamu nzima kilaini. Lazima stress ikupateHapo alikosea dawa ya tatizo ni kulikabili na kulitatua,huko alikojiingiza ndio kajimaliza kabisa
Ni sawa ila angeangalia utaratibu mwingine sio kujizira namna hiyoStress ndiyo chanzo, yaani katumia ubongo wake kutunga, kashughulisha pumzi zake za mdomo wake katika kutoa sauti nzuri ya kuimba. Mjinga mmoja anakuja kuiuza albamu nzima kilaini. Lazima stress ikupate
Tuna mioyo tofauti wanadamu usimlaumu, huenda hata uamuzi utakaochukua wewe kwenye hali fulani ukaonekana ni mbaya. Mitazamo ni kinzano, ila uchungu wa shubiri aujuaye mwonjaji.Ni sawa ila angeangalia utaratibu mwingine sio kujizira namba hiyo
Njoo turuke mimi wewe na yule...Solid ground fanily,
Ndani ya Bush part!
(x2)
Say chereko,
Chereko!
Say nderemo,
Nderemo!
Ni vifijo na mayowe,
Leo ndo leo asiye na mwana abebe jiwe..............