Hivi Suma G uko wapi?

Hivi Suma G uko wapi?

Du hao big dog pose walikuw noma sana,sijui nao wako wapi? Kulikuwa na album yao moja inakwenda kwa jina la wosia ilikuwa balaa
Wee jamaa wa kitambo sana wosia ilikuwa na nyimbo kumi kama wosia, bahati ya mwenzio,rudi mpenzi,manjumati,kitambo kidogo,
Jamaa walikuwa wanajua wakaja toa album yao ya pili BDP kamili na nyimbo kama majobless, kumwimbia,kichwa cha chief,maimuna ama kweli ya kale dhahabu
Drezzy chief nasikia yupo mbeya anauza mitumba tu huku cronic akiwa dar computer sijui yupo wapi
 
Hakuna watu nilikua nawakubali kama Mandonjo na Domokaya,sijui walipotelea wapi hawa jamaa?
Mwanzo nilidhani ni ndugu hawa ila kumbe ni marafiki tu!
 
mkuu suma g ni mtu wa pombe sana...wakati yuko katika ubora wake alikuwa anazitwanga pombe kupita kiasi...nimekaa nae sana huyu jamaa pamoja na soggy dog... (hot pot family) ...nafikiri sasa kipato ni cha hali ya chini ..so naona hali tu ya maisha imekuwa ngumu
pombe pombeee,ukiizidisha inakua noma,pombe pombe,ikizid sana inakua soo,.hivi si ndo yeye aliimbaga uyu
 
Hakuna watu nilikua nawakubali kama Mandonjo na Domokaya,sijui walipotelea wapi hawa jamaa?
Mwanzo nilidhani ni ndugu hawa ila kumbe ni marafiki tu!
Game na management jamaa walitolewa na majani ila wakatofautiana wakachukuliwa na lady jay dee na gadner G kupitia record label ya JAG record ndipo wakatoa ile album ya nikupe nini baada ya pale nasikia jamaa waliona gadner anawanyonya sijui basi wakasema waje na wazo kila mmoja atoke na kazi zake binafsi hapo ndio ulikuwa mwisho wao maana baadaye wakajribu wee kurudi lakin wapi muziki huu ukikaa kimya miaka 2 huwezi kuja kubamba tena
 
1.vituko uswahilini
2.vituko uswahilini remix ft insp haroun
3.destination ft quick rock
4.muulize meneja ft prof jay
5.pombe
6.demu wako ananitaka ambayo alipewa shavu na easy I
7.silaha maneno
Mshkaji demu wakoo anacheemkaaaa....
Na nikizid kumtosa atajitundikaa....
 
mkuu suma g ni mtu wa pombe sana...wakati yuko katika ubora wake alikuwa anazitwanga pombe kupita kiasi...nimekaa nae sana huyu jamaa pamoja na soggy dog... (hot pot family) ...nafikiri sasa kipato ni cha hali ya chini ..so naona hali tu ya maisha imekuwa ngumu
na alishaimba .....pombee pombeee ukizidisha inakua nomaaa....
 
Kawa ustaadh saizi

Tokea afiwe na mama yake na mkewe ndani ya siku 2 wote kwa pamoja kachange sana kaachia udevu na ibada ibada mitaa ya sinza utamkuta kwao

Alikuwa na plan ya kufanya project yake ya video editing ,designing nk nk mambo aliyosomea sijui iliishia wapi
Kweli unamjua ipasavyo, nimefanya nae kazi mwaka juzi kwenye project flan hivi. Yuko peace sana mood ile ile, afta ile ile. Sema kawa muislam swafi kabisa.

Big up Saigon
 
Wee jamaa wa kitambo sana wosia ilikuwa na nyimbo kumi kama wosia, bahati ya mwenzio,rudi mpenzi,manjumati,kitambo kidogo,
Jamaa walikuwa wanajua wakaja toa album yao ya pili BDP kamili na nyimbo kama majobless, kumwimbia,kichwa cha chief,maimuna ama kweli ya kale dhahabu
Drezzy chief nasikia yupo mbeya anauza mitumba tu huku cronic akiwa dar computer sijui yupo wapi
Du mzee mwenzangu naweza kupata wapi album yao ya wosia?maana nilikuwa wosia kweli ya ni dhahabu mkuu, zamani kulikuwa na vichwa kweli kweli
 
Back
Top Bottom