aka2030
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 2,657
- 3,679
Wee jamaa wa kitambo sana wosia ilikuwa na nyimbo kumi kama wosia, bahati ya mwenzio,rudi mpenzi,manjumati,kitambo kidogo,Du hao big dog pose walikuw noma sana,sijui nao wako wapi? Kulikuwa na album yao moja inakwenda kwa jina la wosia ilikuwa balaa
Jamaa walikuwa wanajua wakaja toa album yao ya pili BDP kamili na nyimbo kama majobless, kumwimbia,kichwa cha chief,maimuna ama kweli ya kale dhahabu
Drezzy chief nasikia yupo mbeya anauza mitumba tu huku cronic akiwa dar computer sijui yupo wapi