Hivi Taifa lolote likiwa na 'Crisis' ya Maji na Umeme 'Kiusalama' kutangaza 'State of Emergency' ni Kosa au Kujidhalilisha?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na je, Maadui ( wenye Utaalam na walioiva Kimedani ) hawawezi kutumia Crisis ya Kukosekana kwa Maji na Umeme katika Taifa lolote duniani katika Kujipanga Kimashambulizi na hata Kuliharibu ( Kuliteketeza ) Taifa na Kizazi chake?

ONYO

Katika haya Maelezo yangu hapa sijaitaja nchi yoyote ile sasa Wewe Kurupuka uje na Kiherehere chako kujifanya unajua kuwa naisema nchi fulani kisha tulaumiane kwa Majibu yangu 'Umiza' ya papo kwa hapo.
 
Eti Onyo: uooga utawaua Watanzania bado unatumia ID fake lakini bado una uoga.
Kwa hali hiyo unaweza kwenda sehemu na kumsema Waziri au Rais kwamba anakosea.

Uoga ukizidi unazaa ujinga na kujipendekezana mwisho ni Mauti-alisema Mwl.Nyerere
 
Eti Onyo: uooga utawaua Watanzania bado unatumia ID fake lakini bado una uoga.
Kwa hali hiyo unaweza kwenda sehemu na kumsema Waziri au Rais kwamba anakosea.

Uoga ukizidi unazaa ujinga na kujipendekezana mwisho ni Mauti-alisema Mwl.Nyerere
Rubbish and Nonsensical.
 
Inawezekana leo hujaoga wala kupiga pasi nguo kutokana na current crisis, lakn uko sawa. Subiri wataalam wa diplomasia na siasa waje kutoa muongozo
 
Ninachojua Mimi kuwa hiyo inchi siyo (rwanda)
 
Maana ya SE unaijua kwanza, conditions na implications? We jamaa ni lijuaji sana na sura yako kama ushuzi wa mlevi😑
Nielimishe basi Wewe Pang'ang'a ( Juha ) juu ya State of Emergency ( SE ) na ni Vigezo gani vinaifanya iwepo.
 
Genta mwoga ameandika utafikiri kunguru !!weka andiko lako black and white, kwani unaogopa nini?
Huwa nawaandikia zaidi Watu Werevu ( Intelligent ) hapa JamiiForums na siyo kwa Mipan'gang'a ( Dimwits ) kama Wewe sawa?
 
Maana ya SE unaijua kwanza, conditions na implications? We jamaa ni lijuaji sana na sura yako kama ushuzi wa mlevi😑
Eti "ushuzi wa mlevi" πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜†
 
Kuna nchi zinazojitambua ambazo viongozi wake wanawajibika kabla hayo hayajatokea. Na kuna vinchi hata magonjwa ya mlipuko yakitokea kutokana na ukosefu wa maji hawajisumbui.
 
Yaani Maji hakuna Dar tu,mkoa mmoja mnataka kulifanya ni janga la kitaifa?

Tokeni huko mnarundikana sehemu moja watu milioni 5,mnakata miti,mnaharibu vyanzo hakuna alafu mnalia lia


Tokeni huko,mje katavi,simiyu hakuna shida kama hizo,mnajifanya mnang'ang'ania kukaa mjini muone magorofa kumbe mnateseka.

Sema Dar ndio hakuna maji usijumuishe nchi nzima
 
The most importany basic human need & right ni Maji... Umeme ni engine ya uchumi wa Taifa bila hivi vitu kwa dunia ya leo unakuwa dhaifu na Taifa linasinyaa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…