Hivi Taifa lolote likiwa na 'Crisis' ya Maji na Umeme 'Kiusalama' kutangaza 'State of Emergency' ni Kosa au Kujidhalilisha?

Hivi Taifa lolote likiwa na 'Crisis' ya Maji na Umeme 'Kiusalama' kutangaza 'State of Emergency' ni Kosa au Kujidhalilisha?

Ndege inaanguka kikao cha baraza la mawaziri kinakaa baada ya wiki moja.

Tatizo la umeme na maji lipo baraza halikai.

Wakati mwingine huwa nawaza labda viongozi wetu sio Raia wa Tanzania.

Ni kama tunatawaliwa na raia wa kigeni.

Maana kiongozi huwezi pata usingizi kama watu wako wanateseka namna hii na wala huoneshi kujali.
 
Kama viongozi wako busy na kutukamua na tozo kibao,,wako busy na kwenda kukopa lakini huduma za muhim kwa mwananchi ni anasa utegemee nn ..Chimba kisima kwako basi ila ukitegemea hawa wanasiasa unaweza ukashikwa hasira tu
 
Na je, Maadui ( wenye Utaalam na walioiva Kimedani ) hawawezi kutumia Crisis ya Kukosekana kwa Maji na Umeme katika Taifa lolote duniani katika Kujipanga Kimashambulizi na hata Kuliharibu ( Kuliteketeza ) Taifa na Kizazi chake?

ONYO

Katika haya Maelezo yangu hapa sijaitaja nchi yoyote ile sasa Wewe Kurupuka uje na Kiherehere chako kujifanya unajua kuwa naisema nchi fulani kisha tulaumiane kwa Majibu yangu 'Umiza' ya papo kwa hapo.
Kamshauri Al Sisi wa Egypt kwanza ndio uje kwa Tanzania maana Tanzania hatuna crisis ya Kama hizo Nchi nyingine 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20221109-121445.png
    Screenshot_20221109-121445.png
    97.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom