Hivi Taifa lolote likiwa na 'Crisis' ya Maji na Umeme 'Kiusalama' kutangaza 'State of Emergency' ni Kosa au Kujidhalilisha?

Ndege inaanguka kikao cha baraza la mawaziri kinakaa baada ya wiki moja.

Tatizo la umeme na maji lipo baraza halikai.

Wakati mwingine huwa nawaza labda viongozi wetu sio Raia wa Tanzania.

Ni kama tunatawaliwa na raia wa kigeni.

Maana kiongozi huwezi pata usingizi kama watu wako wanateseka namna hii na wala huoneshi kujali.
 
Kama viongozi wako busy na kutukamua na tozo kibao,,wako busy na kwenda kukopa lakini huduma za muhim kwa mwananchi ni anasa utegemee nn ..Chimba kisima kwako basi ila ukitegemea hawa wanasiasa unaweza ukashikwa hasira tu
 
Kamshauri Al Sisi wa Egypt kwanza ndio uje kwa Tanzania maana Tanzania hatuna crisis ya Kama hizo Nchi nyingine πŸ‘‡
 

Attachments

  • Screenshot_20221109-121445.png
    97.8 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…