Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #41
Shida unapenda msererekooooAgawe hela.Aache uhuni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida unapenda msererekooooAgawe hela.Aache uhuni.
😂😂Kwa nn unasema hivo?!🙆🙆Ila wewe, mwanza panakuchanganya
Umeshapinda, sidhani Kama ntaweza kukunyoosha😂😂Kwa nn unasema hivo?!🙆🙆
🙆🙆🙆🙆Jamani jamani yani mambo ya humu ndani ndo yanionyeshe mie kupinda, hadi ww kaka angu ndugu yangu ushindwe ninyoosha si kweli.Umeshapinda, sidhani Kama ntaweza kukunyoosha
Labda niiombe serikali, inisaidie kwa hili, Mana ntapusuka kichwa buree🙆🙆🙆🙆Jamani jamani yani mambo ya humu ndani ndo yanionyeshe mine kupinda, hadi ww kaka angu ndugu yangu ushindwe ninyoosha si kweli.
Tunashukuru vijana, kwa kumtambua bilionea huyu.Mkuu humjui tajiri lugano!!? Yeye ndo mmiliki wa kila Lori unaloliona barabarani nyuma limeandikwa T
Hapana....nisamehe tu kama hilo suala litakuwa limekuathiri kisaikolojia basi hata upelekwe kuonana na watu wa saikolojia. Sikukusudia kuandikiwa hivyo.Nisamehe Mimi kwa kukufokea bosi Kama wewe Bill Lugano
Unamzungumzia yule tajiri ambaye alikunya cocktel ya asali maziwa na mdalasini ambAvyo huko mArekani ni sumu?Salaam wakuu,kwanza nianze kusema kuwa Mimi ni shabiki mkubwa wa tajiri Bill Lugano.
Tajiri huyu amekuwa akinipa hamasa kubwa kupitia hoja na machapisho yake Kuhusiana na utajiri wake yeye na familia yao.
Ni mtu ambaye anatuhamasisha vijana tutafute pesa kwa bidii,Hana nongwa na mtu yoyote nadhani hata Kaka Bujibuji Simba Nyamaume, anafahamu hili.
[emoji117]Ni msomi aliyepata nafasi ya kupata elimu yake kutoka katika vyuo 2 bora kabisa duniani ambayo ni Oxford na Harvard.
Tena hana dharau kwa jamii yake inayomzunguka, sio kama Lord lofa mpwayungu village. Ambaye huwa anatukana walimu wake waliomkuza.
Nasikitika nasikitika kusema kuwa nimeshangazwa na ukimya wa tajiri yetu Bill Lugano, ambaye hana utaratibu wa kukaa kimya bila kuongea na sisi wadau wake.
Uko wapi tajiri ??, tunakuomba sema kitu boss, baadhi ya vitu vilivyonipa wasiwasi ni [emoji117]hajibu email tunazomtumia
[emoji117] Secretary wake hajulikani alipo
[emoji117]Inasemekana amebadilisha uraia ??, Ili asisumbuliwe na tra.
[emoji117] Inasemekana amechoshwa na chuki na hoja potofu za baadhi ya watanzania dhidi ya matajiri.
Nakumbuka mara ya mwisho alitutaarifu kuwa ataenda mapumzikoni katika kisiwa Cha malbera, lakini toka mwaka jana hatujasikia lolote Tena kutoka kwake.
hata jasusi GENTAMYCINE, amethibitisha kuwa tajiri Bill Lugano, ni Kama mzuka kwa sasa. Kwani hakuna mwenye taarifa zake.
Tunakuomba tajiri Bill Lugano, urudi boss wetu, kwa maana jamii yetu ya majobless wa kimataifa inahitaji uwepo wa matajiri Kama wewe.
Za ndani Inasemekana [emoji117]Mashirika ya ujasusi duniani Kama M16,mossad, na CIA wameahidi kusaidia kumpata.
We are humble waiting for you bilionea Bill Lugano [emoji120][emoji120][emoji120]
Mpatie hata kamilioni kumi mkuu, kama pole.Hapana....nisamehe tu kama hilo suala litakuwa limekuathiri kisaikolojia basi hata upelekwe kuonana na watu wa saikolojia. Sikukusudia kuandikiwa hivyo.
😂😂😂 Yalaaaah yalaaaah yalaaaah.Labda niiombe serikali, inisaidie kwa hili, Mana ntapusuka kichwa buree
Nitashukuru Sana, ila nasikia huko malipo ni bilioni 80Hapana....nisamehe tu kama hilo suala litakuwa limekuathiri kisaikolojia basi hata upelekwe kuonana na watu wa saikolojia. Sikukusudia kuandikiwa hivyo.
Kwa hicho kichwa chako, unashauri serikali ikupeleke wapi??😂😂😂 Yalaaaah yalaaaah yalaaaah.
Hili tatizo itabid likangaliwe.
Nashauri wanipeleke kwa Mwamposa kwanza.Kwa hicho kichwa chako, unashauri serikali ikupeleke wapi??
Mana India wamekukataa, Korea ndo hawataki hata kuliona file lako
Alalaye usimwamshe.....😂Nishamtoa msukule Chizi Maarifa ndo mana unaona ako kimya
Mwamposa kusikia tu jina lako, na yeye kachanganyikiwa. gwajima ameomba mapumzikoni ya lazimaNashauri wanipeleke kwa Mwamposa kwanza.
Ikishindikana ndo nitawapa ushauri mzuri.
We amka tu maan yule mganga alisema huko kuamka kwako ndo pesa zenyewe.😂😂😂Alalaye usimwamshe.....😂
Ntaombewa hata na mke wa Masanja kama ndo hivoMwamposa kusikia tu jina lako, na yeye kachanganyikiwa. gwajima ameomba mapumzikoni ya lazima
Katibu wa Sasa ni mzabzab, na yeye ana wasaidizi wawili kina national anthem na mzee wa kupambaniaNtaombewa hata na mke wa Masanja kama ndo hivo