Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Uno limenilipa ndiomaana tukakuzaa wewe toto jeuri, bora ninge jichukuliaga sheria mkononi na kipande cha jamaa....☹️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uno limenilipa ndiomaana tukakuzaa wewe toto jeuri, bora ninge jichukuliaga sheria mkononi na kipande cha jamaa....☹️
Haya jifunze kwa don Bill Lugano 🤒Uno limenilipa ndiomaana tukakuzaa wewe toto jeuri, bora ninge jichukuliaga sheria mkononi na kipande cha jamaa....☹️
Sina cha kujifunza wakati wewe upo....🤨Haya jifunze kwa don Bill Lugano 🤒
Basi acha nipambane niwe tajiri, ili niokoe familia💪🤒Sina cha kujifunza wakati wewe upo....🤨
Alafu uwe unakaa kimya nikiwa naongea...☹️
usiyachukulie serious watu wanafake maisha humumshamba_hachekwi una mfahamu don Bill Lugano 🤒
Hayo ndio maneno sasa mwanangu, inatakiwa ufanye mioango ili nasisi huku kijijini tuwe tunakuona kwenye tivii...😊Basi acha nipambane niwe tajiri, ili niokoe familia💪🤒
Namjua Sana, ni motivation 🤒usiyachukulie serious watu wanafake maisha humu
Habari! I will nimekuwa na mikutano kadhaa kwa sasa kidogo nakuwa tight na secretary wangu anakuwa na kazi nyingi kidogo. Tuna meeting za kila mara na DP World.Don Bill Lugano tuandikie uzi, utupe taarifa juu ya issue Zaki🤒
mshamba_hachekwi alikua ana kuulizia mkuu🤒Habari! I will nimekuwa na mikutano kadhaa kwa sasa kidogo nakuwa tight na secretary wangu anakuwa na kazi nyingi kidogo. Tuna meeting za kila mara na DP World.
Jana alinipigia simuBujibuji Simba Nyamaume hauna taarifa za don Bill Lugano coz it's been a long time 🤒
Salaam wakuu, kwanza nianze kusema kuwa Mimi ni shabiki mkubwa wa tajiri Bill Lugano.
Tajiri huyu amekuwa akinipa hamasa kubwa kupitia hoja na machapisho yake Kuhusiana na utajiri wake yeye na familia yao.
Ni mtu ambaye anatuhamasisha vijana tutafute pesa kwa bidii,Hana nongwa na mtu yoyote nadhani hata Kaka Bujibuji Simba Nyamaume, anafahamu hili.
👉Ni msomi aliyepata nafasi ya kupata elimu yake kutoka katika vyuo 2 bora kabisa duniani ambayo ni Oxford na Harvard.
Tena hana dharau kwa jamii yake inayomzunguka, sio kama Lord lofa mpwayungu village. Ambaye huwa anatukana walimu wake waliomkuza.
Nasikitika nasikitika kusema kuwa nimeshangazwa na ukimya wa tajiri yetu Bill Lugano, ambaye hana utaratibu wa kukaa kimya bila kuongea na sisi wadau wake.
Uko wapi tajiri ??, tunakuomba sema kitu boss, baadhi ya vitu vilivyonipa wasiwasi ni 👉hajibu email tunazomtumia
👉 Secretary wake hajulikani alipo
👉Inasemekana amebadilisha uraia ??, Ili asisumbuliwe na tra.
👉 Inasemekana amechoshwa na chuki na hoja potofu za baadhi ya watanzania dhidi ya matajiri.
Nakumbuka mara ya mwisho alitutaarifu kuwa ataenda mapumzikoni katika kisiwa Cha malbera, lakini toka mwaka jana hatujasikia lolote Tena kutoka kwake.
hata jasusi GENTAMYCINE, amethibitisha kuwa tajiri Bill Lugano, ni Kama mzuka kwa sasa. Kwani hakuna mwenye taarifa zake.
Tunakuomba tajiri Bill Lugano, urudi boss wetu, kwa maana jamii yetu ya majobless wa kimataifa inahitaji uwepo wa matajiri Kama wewe.
Za ndani Inasemekana 👉Mashirika ya ujasusi duniani Kama M16,mossad, na CIA wameahidi kusaidia kumpata.
We are humble waiting for you bilionea Bill Lugano 🙏🙏🙏
Jana alinipigia simu
EehMkuu humjui tajiri lugano!!? Yeye ndo mmiliki wa kila Lori unaloliona barabarani nyuma limeandikwa T
MmhAna visima vya mafuta huko Venezuela 🇻🇪, ana mashamba ya vanilla, ana mashamba ya cocoa, anauza world wide. Ana migodi ya pink diamond, yaani usimchukilie poa