Revolution 22
Member
- Jun 11, 2021
- 63
- 141
Kwenye pitapita zangu nimekutana na picha chini hapo wanajiita makomando wa JU, hivi tofauti na JWTZ kuna Jeshi lingine lina makomando?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanafanyia wap mkuuWanaanzaga mafunzo 300 wanahitimu 10 tu.
Mafunzo yao wanachukulia wapi mkuuLile ni jeshi kamili lina vitengo vyote unavyovijua kwenye majeshi, wana intelligence yao, wana cyber, wana comando brigade, na Wanatumia silaha za kivita na nzito kama kawaida na mafunzo ya hao jamaa ni makali sana
Ya kupaa angani bila parachute pia yapo?mafunzo ya hao jamaa ni makali sana
Hahaa mkuu tusivibeze vyombo vyetu vya ulinzi na usalamaCommando sio kubeba mabegi mengiiii
Hata huko Jeiwii hakuna makomandoo wapo wapasua mawe
Huu ndio ukweli japo mchunguHahaa mkuu tusivibeze vyombo vyetu vya ulinzi na usalama
Hawa njoo uwaangalie wakiwa wameshastaafu utakuta Wana matatizo ya mifupa na uti wa mgongokwenye pitapita zangu nimekutana na picha chini apo wanajiita makomando wa JU iv tofauti na JWTZ kuna jeshi lingine linamakomando?
Huyo hajabeba mabegi kabeba masufulia na madumu, kauli mbiu yao ni kula kwanza kulinda wanyama baadaeCommando sio kubeba mabegi mengiiii
Hata huko Jeiwii hakuna makomandoo wapo wapasua mawe
Naona wanajiita comando mkuuNi ujinga tu Sasa kubeba hayo magogo ndo ukomando
Jeshi la walimu, jeshi la wokovu, nkJESHI NI MOJA TU TPDF na Command zake wengine wote ni raia wakakamavu