Hivi TANAPA nao wana makomando?

Hivi TANAPA nao wana makomando?

Makomandooo tunaowajua ni Wa IDF Israel difense force, SAS, navy seal,na Hamas, hawa wengine ni militia tu, mgambo
Kwa haya uliyo orothesha clearly kuna idea na special forces groups kama hizo,umekariri kwenye movie huko unakuja basi unadhani dunia nzima ndio hivyo hivyo

Kwa taarifa yako hamna nchi ambayo haina hizi team , tofauti ni resources na aina ya mafunzo
 
Lile ni jeshi kamili lina vitengo vyote unavyovijua kwenye majeshi, wana intelligence yao, wana cyber, wana comando brigade, na Wanatumia silaha za kivita na nzito kama kawaida na mafunzo ya hao jamaa ni makali sana
sasa kama wako vyema hivi inakuwaje waarabu wanachukua wanyama kirahisi na hata kuua na kusafiri nao uarabuni?
 
Hivi mnajua komando ni jina la zamani ambalo kwa Sasa ndio wanajulikana kama special force/service au Kuna elites units?
 
Kwa maana hiyo tanapa, tfs, ncca na tawa hawa wote watakuwa na makomandoo...?
 
Mkuu tema mate chini,FFU ni jeshi lile sema wana deal na raia. FFU wanapewa mafunzi ya kijeshi 100% na wanafanya mazoezi ya utayari kila mara. We huoni hata Rais analindwa na FFU basala ya JW?
Wewe Bure kabisa, FFU anaweza kutumia siraha zote za kijeshi,au unajitoa ufahamu?
FFU almost anapambana na opponents aliempa mgongo na lite armor. Jeshi anapambana na opponents anamfuata au kujilinda pia na Kila aina ya silaha.
 
Back
Top Bottom