Kila jeshi lina objectives zake.kwenye pitapita zangu nimekutana na picha chini apo wanajiita makomando wa JU iv tofauti na JWTZ kuna jeshi lingine linamakomando?
Jeshi la Uhifadhi Tanzania limeanzishwa kisheria.
Ni jeshi lenye mambo mengi mno. Fikiria linapambana na majangili ambao wengine huenda ni makomandoo kutoka sehemu mbalimbali duniani lakini wanakalishwa chini.
Ni jeshi hatari sana kwa mafunzo. Mkuu mmoja kasema wanarecruit 300, wanamaliza 3. Intake fulani ktk 100 alifuzu 1 tu.