Kila jeshi lina objectives zake.kwenye pitapita zangu nimekutana na picha chini apo wanajiita makomando wa JU iv tofauti na JWTZ kuna jeshi lingine linamakomando?
Dah kambi yao ya mafunzo ni wapi mkuuKila jeshi lina objectives zake.
Jeshi la Uhifadhi Tanzania limeanzishwa kisheria.
Ni jeshi lenye mambo mengi mno. Fikiria linapambana na majangili ambao wengine huenda ni makomandoo kutoka sehemu mbalimbali duniani lakini wanakalishwa chini.
Ni jeshi hatari sana kwa mafunzo. Mkuu mmoja kasema wanaecruit 300, wanamaliza 3. Intake fulani ktk 100 alifuzu 1 tu.
Unataka ukavamie?Dah kambi yao ya mafunzo ni wapi mkuu
Jeshi gani linapigwa na wahuni wa kibiti. Jeshi ni Polisi tu wengine ni Raia waliochanganyikiwaJESHI NI MOJA TU TPDF na Command zake wengine wote ni raia wakakamavu
Jeshi gani linapigwa na wahuni wa kibiti. Jeshi ni Polisi tu wengine ni Raia waliochanganyikiwa
Jeshi gani linapigwa na wahuni wa kibiti. Jeshi ni Polisi tu wengine ni Raia
Mkuu hawa polisi waliogaragazwa na Hamza au wap unaongeleaJeshi gani linapigwa na wahuni wa kibiti. Jeshi ni Polisi tu wengine ni Raia waliochanganyikiwa
NakubaliMama mtipidiii,mama napenda jeshi....,mama mtipidiii.... TPDF ndo jeshi pekee na kwa Sasa magereza,zimamoto na Uahamiaji wanarudi walipo toka
Ni balaa, wale askari wana roho mbaya sijapata kuona. Nadhani katika kozi zao kuna mtaala wa roho mbaya 😃kama askari wao wa kawaida ndo wana roho mbaya vile, hao komandoo wao sijui itakuwaje
🤣🤣Bado huwa nasikia
WANAWAKE NI JESHI KUBWA. ndo nachoka kabisa. Tunakoenda huko... Sijui
umetusema tunakuja pmCommando sio kubeba mabegi mengiiii
Hata huko Jeiwii hakuna makomandoo wapo wapasua mawe
wale mbwa tuliua mmoja nikiwa bush arusha. wangese sana wale mbwa.kama askari wao wa kawaida ndo wana roho mbaya vile, hao komandoo wao sijui itakuwaje
Kivipi wakati ni mazoezi ya pumzi ukakamavu unadhani komandoo ni kazi ya kukuna naziNi ujinga tu Sasa kubeba hayo magogo ndo ukomando
Hao askari wa Tanapa wana ukatili kutokana na nature ya kazi yao. Mfano ikatokea wameingia kwenye anga ya majangili nao hukutana na ukatili wa hali ya juu so ndio maana nao ukiingia kwenye anga zao wana ku treat kijangili jangili.kama askari wao wa kawaida ndo wana roho mbaya vile, hao komandoo wao sijui itakuwaje
Jibu haraka mh..
Mkuu kwa ninavojua komando mfano jwtz ni miongoni mwa askari wanachaguliwa na kupelekwa kwenye coz maalumu isiopungua miez mitatuUkomando ni nini?.
Komando ni nani?
Vigezo gani vinatumika Ili mtu aqualify kuitwa Komando?
Nini tofauti ya special force/service na komando? Ikiwa ni kitu kimoja hostoria yake imekaaje?
Mkijibu hayo tutajua JU Kuna nini?