Hivi TANAPA nao wana makomando?

Hawajifunzi kwa IDF? huko huwez Kuta Komando kajazia kama mabaunsa wa club
Hata hao wa TIpidiefu pia wanatamani kuwa ma commando ila ndio wanaishia kuigiza kuwa ma Komando.
Unajua nini kuhusu commandos? Usikute ndo kama hao wa Tanapa na wale ffu wanaojibatiza jina hilo kumbe hawajui hata commando ni nani na anafanya nini.
 
Mbona wote hao wakikuona umekaa kiboyaboya wanakuambia wao ni TISS?πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™
 
Kwenye pitapita zangu nimekutana na picha chini hapo wanajiita makomando wa JU, hivi tofauti na JWTZ kuna Jeshi lingine lina makomando?

View attachment 3034951
wananyanyasa sana raia hawa ili wao pia waheshimiwe kuwa ni jeshi. kama umeishi arusha, serengeti na karibu na selous utajua ninachosema. wapo tayari kupiga binadamu risasi kwasababu ya swala au nguruwe pori tu.
 
Ukipita na SGR ngerengere na nje ya pugu unaona wachoma mikaa na mishi tele,sasa wao wanajifanya hawaoni kisa kibali cha kuuza mkaa vipo,sijui malengo.
 
Hiyo picha ni show of force tu, lakin kwenye real mission hawabebi makorokoro namna hiyo
 
Special force ndio Elite military special force unit. Hakuna unit kama hiyo nje ya military.
Kaka elite unit zipo kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. However JU ni paramilitary component si fully military kama jeshi la wananchi. So kisheria hawana commando , na hawatoweza kutumia hilo jina (labda iwe a.k.a) , such units zinaitwa elites, special forces belongs to army
 
Kuna jamaa alikimbia coze ya ucommando anasema kule kama sio ngangari unaweza kunya utumbo mpana hivi hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…