Hivi TANESCO kukata umeme usiku kucha si mnahatarisha maisha ya wananchi na usalama wa nchi?

Mzalendo07

Member
Joined
Feb 24, 2014
Posts
71
Reaction score
120
Nchi ambayo inaelewa umuhimu wa umeme nyakati za usiku haiwezi kukata umeme usiku sababu ya mgao.

Mgao ni mchana na ndio umeme unatumika mwingi. Usiku umeme unatumika sana kwa ajili ya ulinzi ni kimaanisha taa, alarm na mawasiliano, lakini TANESCO wanakata umeme as if wanataka kumkomesha Waziri mpya bwana Dotto.

Hii si sawa.
 
Nani ana jali usalama wako?!!
 
Kuanzia week ijayo kelele hazitokuepo
 
Maharage yako jiko hayajapikwa, anangojea sukari ya bwana haijafika....
 
Ngoja aliyekuwa boss wa REA aripoti ofsini,huu ufala hutousikia Tena mkuu.
 
Maharage kwa nini yaliondolewa tu yasipikwe jikoni??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…