Hivi Tanzania kuna msanii yeyote anamzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki?

Kamaa anatabia za kishogaa na hizi tabia sijaona tanzania..huyu jamaa atakuwa ametokea mombasa
 
Kwani kumuwish MTU birthday Lazima?mie sio mshabiki wake ila hapo jamaa ulikosa tu cha kumuandika ndio ukaamua kutafuta kiki kiivyo
 
Hivi hii ni ban? Mi nilifikiri ni Avatar tu.

 
huyu bwege ndo maaana hafiki popote hata show ya CB alitoa pesa ili tu aperfome....... ubinfafsi wake ndo umemzika kimziki mpka kina Le mbebez wanaaamua mpa makavu live
 
ukifata kila kitu binadam wanachosema walahh utapasuka kichwa wala uwez endelea kila mtu uishi vile apendavo yy na cio wapendavo watu
 
Wakuu hebu nisaidien.jinsi ya kutuma viicon nikiandika.naona havitokei kama ninavyotaka kwa mfano kiicon.cha kicheko au mshangao nikijaribu kutuma nakuta empty
 
Huyu na huyo domo unaemkubali wote wanafanya muziki wa kiboya tu. Siwakubali
**according to me
 

Na wasiwasi na jinsia yako mtoa post.we ka sio shogaa bax sio ridhiki mbele ya mwenyez mungu..anyaway wanaume wa dar bana
 
Hahahaha....nimejikuta nacheka tu,

Ila sio vibaya hata mimi nilipata funzo hivihivi kabla sijakua.
 
Haya maswala mengine person issue alafu sio lazima kulichimba ndo life mkuu awezi ishi utakavyo tumuache ishi atakavyo kwa sababu sio mtoto mdogo hiyo ndo lifestyle yake
 
hujawahi kuniangusha kwenye tafakari!
kiba huwa anaamini watu wanamhitaji kuliko yeye anavyowahitaji!
ni kama vile watu ndio wanaoimba na yeye ndiye anayetakiwa kununua singo,kuview video zao,
so niwao wanatakiwa kumfollow na kumsifia na kumpa support ili asikilize mziki wao
huyo ndo kiba!
 
1.Unaonekana wewe sio mfuatiliaji mzuri wa Social media hususan instagram, fuatilia ukurasa wake wa insta utagundua madhaifu yako
2.Kuhusu kumfollow mtu inategemea, hata mimi siwezi kumfllw mtu tu ilimradi kunakuwa na sababu huenda ana sababu zake, usimpangie mtu matumizi ya akaunti yake.
3.Fuatilia wasanii wakubwa Tanzania utagundua Alikiba hana ubinafsi katika kushirikiana nyimbo hata na msanii mdogo tofauti na mastaa wengine,
Na ukifuatilia kwa makini zaidi utaona wengi wanafanikiwa mojakwamoja kupitia yeye na wengine hushindwa wenyewe daadae. Angalia wasanii kama;
1.ommy dimpoz-nainai
2.top C-sababu ya Ulofa
3.prince seseme
4.bonge la nyau na wengineo wengi tu
 
Hawo wasanii uliowataja wapo wapi mbona hawasikiki
 
top c, nyauloso c wasanii wa bob junior
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…