MC7
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 592
- 489
[emoji15][emoji30][emoji30] hii ban iwe ya muda mfupi mana uyu mdau anatusaidia sn stori za Instahahahaha not again!!!!!!!!!!! sweet heart kila siku unalimwa ban uwe mpole bass wacha utukutu![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15][emoji30][emoji30] hii ban iwe ya muda mfupi mana uyu mdau anatusaidia sn stori za Instahahahaha not again!!!!!!!!!!! sweet heart kila siku unalimwa ban uwe mpole bass wacha utukutu![]()
huyu bwege ndo maaana hafiki popote hata show ya CB alitoa pesa ili tu aperfome....... ubinfafsi wake ndo umemzika kimziki mpka kina Le mbebez wanaaamua mpa makavu liveWadau nauliza tu hivi TZ kuna msanii yeyote anayemzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki??
Kiba namuona mbinafsi na mnafki kwa kuwa sijawahi kuona hata mara moja akimu wish mtu yeyote siku ya kuzaliwa au kumpa pongezi yoyote msanii mwenzake ikiwemo kumpost kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa pongezi
Pia sijawahi kuona Kiba akisifia cha mwenzake kutoka moyoni kusifia kwake ukimuangalia usoni unaona kabisa hii pongezi haijatoka moyoni
Mimi navyoona Kiba alivyokuwa mdogo alikuwa akiimbiwa afiche vitu anavyonunuliwa ili atumie peke yake au hata chakula inawezekana alikuwa anakula chobingo akimaliza ndo anaenda kwa wenzake ,maana duuuuuh huyu jamaa ana roho mbaya alafu mbinafsi kichizi
We chukulia mfano insta ana followers millioni moja na ushee lakini yeye hamfollow mtu yeyote yule sasa kama huu sio ubinafsi ni nini??
View attachment 415252
Watu wa karibu wa Ally Kiba mshauri abadilike bhana la sivyo hata ikiwezekana iko cheo chake cha ubalozi wa wanyama anyang'anywe tu balozi gani ana roho mbaya namna hii kwa binadamu wenzake ataweza kupenda wanyama kweli??
Na mim nilijua ni avatar tuHivi hii ni ban? Mi nilifikiri ni Avatar tu.
![]()
BanNa mim nilijua ni avatar tu
Wadau nauliza tu hivi TZ kuna msanii yeyote anayemzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki??
Kiba namuona mbinafsi na mnafki kwa kuwa sijawahi kuona hata mara moja akimu wish mtu yeyote siku ya kuzaliwa au kumpa pongezi yoyote msanii mwenzake ikiwemo kumpost kwenye mitandao ya kijamii kwa kumpa pongezi
Pia sijawahi kuona Kiba akisifia cha mwenzake kutoka moyoni kusifia kwake ukimuangalia usoni unaona kabisa hii pongezi haijatoka moyoni
Mimi navyoona Kiba alivyokuwa mdogo alikuwa akiimbiwa afiche vitu anavyonunuliwa ili atumie peke yake au hata chakula inawezekana alikuwa anakula chobingo akimaliza ndo anaenda kwa wenzake ,maana duuuuuh huyu jamaa ana roho mbaya alafu mbinafsi kichizi
We chukulia mfano insta ana followers millioni moja na ushee lakini yeye hamfollow mtu yeyote yule sasa kama huu sio ubinafsi ni nini??
View attachment 415252
Watu wa karibu wa Ally Kiba mshauri abadilike bhana la sivyo hata ikiwezekana iko cheo chake cha ubalozi wa wanyama anyang'anywe tu balozi gani ana roho mbaya namna hii kwa binadamu wenzake ataweza kupenda wanyama kweli??
Mbona anawatakia,tena Sana Tu.na khs kusifia mbona husifia PIA.we labda utakuwa na chuki binafsiHilo swala la kutowatakia heri ya kuzaliwa wenzake unalizungumziaje?
hujawahi kuniangusha kwenye tafakari!Ali Kiba anaweza kuwa si mbinafsi, hana communication skills tuu, na pia anakosa menejiment bunifu at least ya kumfanya awe ana wasiliana na washabiki wake, hasa kuto mfollow mtu hata mmoja huko IG nadhani ni kosa la kiufundi menejment yake ina takiwa iliangalie
*lakini kama hai mcost kimuziki bas tumuache aish maisha yake
Ndo anafurahia ikiwa hivo
Hawo wasanii uliowataja wapo wapi mbona hawasikiki1.Unaonekana wewe sio mfuatiliaji mzuri wa Social media hususan instagram, fuatilia ukurasa wake wa insta utagundua madhaifu yako
2.Kuhusu kumfollow mtu inategemea, hata mimi siwezi kumfllw mtu tu ilimradi kunakuwa na sababu huenda ana sababu zake, usimpangie mtu matumizi ya akaunti yake.
3.Fuatilia wasanii wakubwa Tanzania utagundua Alikiba hana ubinafsi katika kushirikiana nyimbo hata na msanii mdogo tofauti na mastaa wengine,
Na ukifuatilia kwa makini zaidi utaona wengi wanafanikiwa mojakwamoja kupitia yeye na wengine hushindwa wenyewe daadae. Angalia wasanii kama;
1.ommy dimpoz-nainai
2.top C-sababu ya Ulofa
3.prince seseme
4.bonge la nyau na wengineo wengi tu
top c, nyauloso c wasanii wa bob junior1.Unaonekana wewe sio mfuatiliaji mzuri wa Social media hususan instagram, fuatilia ukurasa wake wa insta utagundua madhaifu yako