Hivi Tanzania kuna msanii yeyote anamzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki?

[emoji15][emoji30][emoji30] hii ban iwe ya muda mfupi mana uyu mdau anatusaidia sn stori za Insta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ,asante mkuu kwa kuonesha roho ya uungwana na upendo ,wengine humu wanafurahi wakiona wenzao wamepewa ban
 
huyu bwege ndo maaana hafiki popote hata show ya CB alitoa pesa ili tu aperfome....... ubinfafsi wake ndo umemzika kimziki mpka kina Le mbebez wanaaamua mpa makavu live
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Menejimenti ndio tatizo
 
Mwacheni aishi atakavyo japo napenda sana asivyopenda makuu kama nilivyo mimi[emoji6]
 
Haya maswala mengine person issue alafu sio lazima kulichimba ndo life mkuu awezi ishi utakavyo tumuache ishi atakavyo kwa sababu sio mtoto mdogo hiyo ndo lifestyle yake
Celebrity huyo anatofauti kubwa ya mimi na wewe lazima achimbwe
 
hajielewi huyo mkuu
 

90% ya wabongo ni mazombi
 
yeye anajiita alikiba for real anajua yuko real kumbe hovyo tu,

Huyu jamaa hadi maisha ya kawaida ni mbinafsi nimewai kukutana nae mahala fulani kikazi alivyokua anatujibu nilichoka
 
ha ha ha wamenionea bhana eti kisa nimemuita Ally Kiba kibakuli ndo wakanipa ban
Diamond kila siku anaitwa domo humu sijaona mtu akipewa ban ila mimi nilivyomuita tu Ally K kibakuli hapo hapo wakanipa ban
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] penda mm ww.
 
Mtu kukujibu usivyopenda kunategemea umetumia approach ipi na aina ya maswali uliyouliza. Unaweza swali la kishari ni wazi unaweza jibiwa kishari, au ukawa hayuko kwenye moody nzuri ya kukujibu unavotaka.... Ni mawazo yangu.
 
yeye anajiita alikiba for real anajua yuko real kumbe hovyo tu,

Huyu jamaa hadi maisha ya kawaida ni mbinafsi nimewai kukutana nae mahala fulani kikazi alivyokua anatujibu nilichoka
Ndo allivyo huyo namfahamu tangu kitambo anavyotoka ila wasio mjua wataona namuonea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…