brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
- Thread starter
-
- #141
ha ha ha na mm pia ,penda wewe sanaHahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] penda mm ww.
ile project ilibidi aende Mr Blue sema ndo ile ilishindikana kitu gani sijui ndo akapewa Kiba nafasi hiyoKwa hyo hata mshkaji wake R Kelly hajamfollow??
anapenda sana makuuMwacheni aishi atakavyo japo napenda sana asivyopenda makuu kama nilivyo mimi[emoji6]
ha ha ha nilikuwa natolea ufafanuzi tu wala sina nia hiyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha??
Umemuita tena[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
poa niga boy umesomekaMtu kukujibu usivyopenda kunategemea umetumia approach ipi na aina ya maswali uliyouliza. Unaweza swali la kishari ni wazi unaweza jibiwa kishari, au ukawa hayuko kwenye moody nzuri ya kukujibu unavotaka.... Ni mawazo yangu.
uwe mpole kama huwezi njoo nyumbani nikufunze tabia njema .......... hiyo ni name calling sweetie kwani hujasoma jf rules?ha ha ha wamenionea bhana eti kisa nimemuita Ally Kiba kibakuli ndo wakanipa ban
Diamond kila siku anaitwa domo humu sijaona mtu akipewa ban ila mimi nilivyomuita tu Ally K kibakuli hapo hapo wakanipa ban
Ndio maana haendeleiNdo allivyo huyo namfahamu tangu kitambo anavyotoka ila wasio mjua wataona namuonea
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa Muu nimekuelewauwe mpole kama huwezi njoo nyumbani nikufunze tabia njema .......... hiyo ni name calling sweetie kwani hujasoma jf rules?
Majina ya kishari na shombo yanatoa picha ya mtu kutoelimika. Ally Kiba hajasema kamzidi wizikid bali ni tafsiri za watu katika comments ambazo zinaweza kuwa sahii au uongo.Mfalme Kimba eti kamzidi wizkid... labda kiumri.
Hahahahaha povuuuuuuuuuuuuu!!Majina ya kishari na shombo yanatoa picha ya mtu kutoelimika. Ally Kiba hajasema kamzidi wizikid bali ni tafsiri za watu katika comments ambazo zinaweza kuwa sahii au uongo.
Povu nigaMajina ya kishari na shombo yanatoa picha ya mtu kutoelimika. Ally Kiba hajasema kamzidi wizikid bali ni tafsiri za watu katika comments ambazo zinaweza kuwa sahii au uongo.
Hata kama kueni na mipaka coz hata hayo mnayowaambia sidhan kama wanayafanyia kaz kama wakiona havina maana
ha ha ha anatoa mapovu huyo ,sipatii picha ungekuwa naye karibu sijui ingekuajeHahahahaha povuuuuuuuuuuuuu!!
Hahahahaha yan hawa wa2 ni vituko aisee!!! They refer diamond to many bad names but si kwa mipovu hii when we do the same kwa kibakuli chao...Hahahaha[emoji23]ha ha ha anatoa mapovu huyo ,sipatii picha ungekuwa naye karibu sijui ingekuaje
Na BAN juu...!!!!Hahahahaha yan hawa wa2 ni vituko aisee!!! They refer diamond to many bad names but si kwa mipovu hii when we do the same kwa kibakuli chao...Hahahaha[emoji23]
sawaKila mmoja ana maisha yake, mm siwez kukulazmisha the way unavoishi...