Hivi Tanzania kuna msanii yeyote anamzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki?

Hivi Tanzania kuna msanii yeyote anamzidi Ally Kiba kwa ubinafsi na unafiki?

Mtu kukujibu usivyopenda kunategemea umetumia approach ipi na aina ya maswali uliyouliza. Unaweza swali la kishari ni wazi unaweza jibiwa kishari, au ukawa hayuko kwenye moody nzuri ya kukujibu unavotaka.... Ni mawazo yangu.
poa niga boy umesomeka
 
ha ha ha wamenionea bhana eti kisa nimemuita Ally Kiba kibakuli ndo wakanipa ban
Diamond kila siku anaitwa domo humu sijaona mtu akipewa ban ila mimi nilivyomuita tu Ally K kibakuli hapo hapo wakanipa ban
uwe mpole kama huwezi njoo nyumbani nikufunze tabia njema .......... hiyo ni name calling sweetie kwani hujasoma jf rules?
 
uwe mpole kama huwezi njoo nyumbani nikufunze tabia njema .......... hiyo ni name calling sweetie kwani hujasoma jf rules?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sawa Muu nimekuelewa
 
Mfalme Kimba eti kamzidi wizkid... labda kiumri.
Majina ya kishari na shombo yanatoa picha ya mtu kutoelimika. Ally Kiba hajasema kamzidi wizikid bali ni tafsiri za watu katika comments ambazo zinaweza kuwa sahii au uongo.
 
Hata kama kueni na mipaka coz hata hayo mnayowaambia sidhan kama wanayafanyia kaz kama wakiona havina maana

Sifa ya celebrity

1.asiwe na dharau kwa mashabiki zake

2.asiwe mtu wa kuonekana sana na watu

3.awe mtu wa sasa (updates) kila mara

4.awe wa mtu wa jamii kila mtu awe anamahusiano nae vizuri


Ila alikiba hana sifa hizo
 
Kila mmoja ana maisha yake, mm siwez kukulazmisha the way unavoishi...
 
Back
Top Bottom