Mongwe wapi? Ulivuka mlima kwa upande wa pili?Mongwe kule kipindi nasoma mzumbe sekondari niliendapo mara moja moja... Watu wanajua kiswahili na vigodoro wanacheza waluguru hao...Nakumbuka nilitoa mia mbili nikapewa karoti nyingi kwelikweli na ndizi nikapiga deshi lunch... Waluguru noma.
Sehemu gani umasaini hawajui kiswahili?Nenda hapo kwa wamasai tu ujionee.
dodge
Kule Tangeni wanaongea kisukuma tuMongwe kule kipindi nasoma mzumbe sekondari niliendapo mara moja moja... Watu wanajua kiswahili na vigodoro wanacheza waluguru hao.
Nakumbuka nilitoa mia mbili nikapewa karoti nyingi kwelikweli na ndizi nikapiga deshi lunch... Waluguru noma.
Nenda hapo kwa wamasai tu ujionee.
dodge
Mongwe bara bara hazipitiki kipindi cha mvua...kuna ndizi kibao ila kuzileta chini zikishawiva ndiyo kazi....Dah mkuu...umenikumbusha mongwe kuna story ya jamaa fulani ivi aliniambia asili yake ni uko...jamaa ni tapeli wa changarawe anaitwa baba Francis
Dah!!mimi nilitaka kwenda kumfuatilia mjomba ake uyo tapeli,alisema mjomba ake ni mganga uko mongwe,,,halafu nasikia kule ukikaribishwa wanakupa kuku.Mongwe bara bara hazipitiki kipindi cha mvua...kuna ndizi kibao ila kuzileta chini zikishawiva ndiyo kazi....
Nilishafika huko....
Nop sikuvuka kiongozi...Tulikuwa wengi nia yetu ilikuwa kufika kilele cha mt.uluguru... Lakini tulipokaribia juu wengine wakaanza kuchoka na kuanguka anguka.. Walioshindwa safari tuliwaacha nyuma ila ilifika kipindi tukabaki wachache na muda uliyoyoma hivyo tukageuza kuwarudia wenzetu... Tukapita mashambani kwa waluguru ndo wakatupa hayo makaroti,ndizi wengine wakapewa hadi cabbage...Tukanywa maji tukaenda kilimahewa kushangaa shangaa baadaye tukarudi shule.Mongwe wapi? Ulivuka mlima kwa upande wa pili?
Wasso.Sehemu gani umasaini hawajui kiswahili?
Mkuu uku Hamna viboko kwa waongo kama wewe???
Mongwe mkuu kuna Waluguru, sijui wamasai na wasukuma baadhi japo sikusikia Kisukuma nilipoenda.Kule Tangeni wanaongea kisukuma tu
Nop sikuvuka kiongozi...Tulikuwa wengi nia yetu ilikuwa kufika kilele cha mt.uluguru lakini tulipokaribia juu wengine wakaanza kuchoka na kuanguka anguka.. Walioshindwa safari tuliwaacha nyuma ila ilifika kipindi tukabaki wachache na muda uliyoyoma hivyo tukageuza kuwarudia wenzetu. Tukapita mashambani kwa waluguru ndo wakatupa hayo makaroti,ndizi wengine wakapewa hadi cabbage, tukanywa maji tukaenda kilimahewa kushangaa shangaa baadaye tukarudi shule.
Mongwe mkuu kuna waluguru,sijui wamasai na wasukuma baadhi japo sikusikia kisukuma nilipoenda.
Utatokea nchi hiihii ya tz... Moro hiyohiyo...Ila kuna jamaa alituambia eti kuna upande wa mlima ukivuka upande wa pili unatokea mjini halafu distance yake ni fupi sema kikwazo ni mlima tu... Ndo tulitaka tujue kama ni kweli au cheche coz ukiwa town unauona mlima vzr tu.Hivi nyuma ya ule mlima kuna watu upande wa pili?
Ukiendelea kuelekea huko unatokea mkoa gani au nchi gani?