Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

Ni kweli, nakumbuka Kuna siku nimeingia dar nikajisemea safari hii sifikii Kwa ndugu zangu....siku ya kwanza nikalala lodge (jasho likaanza nitoka pesa ya kikuda nilikuwa nayo) ...nikampigia simu dogo Fulani tulifamiana through Facebook...tegeta bees ndiyo nikalala kwake siku zilizosalia....tukamalizia ununio bch tupesa tulitobakia😋....wazaramo ni wema Kwa kweli🙏
 
Wazaramo hawa hawa muda wote wanawaza kucheza ngoma? Wanawaza vigodoro? Oa mmoja uone 😀
Nina mademu kibao tu wazaramo tena kutoka Msanga sokoni sio Zalala.

Hiyo kwenda ngomani wala sio ishu kwa wanaume wa kizaramo. Uzaramuni kuna ngoma za kizaramo wanaume hufundishwa. Ukiweza kumaster hizo ngoma basi mwanamke hawezi kuwa tatizo kwako kitandani.. kwa mwanaume wa kizaramo kuruhusu mkewe aende ngomani wala sio tatizo kwake
 
Kama nawewe ni mzaramo basi ni sahihi kwako
 
Mimi naona hakuna mtu ambaye ni perfect na Kama hakuna mtu ambaye ni perfect bhas ujue hakuna kabila ambalo ni perfect,vile vile hakuna anayekosa mazuri yake,lakin ukisikie mtu anamwambia mwenzake we mzur Sana maana yake anakufaidi kiasi kwamba amebidi akwambie wewe ni mzur
 
Bila picha mkuu?
 
Wangekuwa wakristo wangekuwa poa zaidi. Tatizo dini ya mwarabu.

adriz Accumen Mo darcity
 
Duh! umeshapiga Cannabis nini ?
Sijui umejuaje asee yani iyo ni kama kunya lazima. Halafu leo nimeipiga kwa fujo puff za kutosha kwasababu mchana tuligombana na demu wangu.

Tuachane na hayo. Ni hivi hata makabila kwaanzia wazaramo, wakwere,wandingo, ndengereko, wamatumbi na kushuka huko kusini jamiii za kimakonde wamwera, makua etc wote wangekuwa wagalatia wangekuwa poa zaidi. Tatizo dini ya mwarabu.

Magonjwa Mtambuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…