spidernyoka
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 7,557
- 20,477
Wazaramo watu sana unaonana nao leo leo mnaelewana leo leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nina mademu kibao tu wazaramo tena kutoka Msanga sokoni sio Zalala.Wazaramo hawa hawa muda wote wanawaza kucheza ngoma? Wanawaza vigodoro? Oa mmoja uone 😀
Mwizi hapigwi na rungu apigwa na misuto mpaka anakata motoNiliwahi kusikia ukimmkwaza mzaramo anaweza kukuchamba Hadi ukafa😂😂
Au huwa wanasingiziwa tu😂😂
Wanasema jifya moja haliinjiki chungu....Sio wachoyo wa utelez pia
Alooh... Mwizi anasutwa tu yaani😂😂😂Mwizi hapigwi na rungu apigwa na misuto mpaka anakata moto
Kama nawewe ni mzaramo basi ni sahihi kwakoNina mademu kibao tu wazaramo tena kutoka Msanga sokoni sio Zalala.
Hiyo kwenda ngomani wala sio ishu kwa wanaume wa kizaramo. Uzaramuni kuna ngoma za kizaramo wanaume hufundishwa. Ukiweza kumaster hizo ngoma basi mwanamke hawezi kuwa tatizo kwako kitandani.. kwa mwanaume wa kizaramo kuruhusu mkewe aende ngomani wala sio tatizo kwake
Hahaha wazee wa vigoma hamna makuu😅Okay.
Sina makuu kama mzaramo vile
Mimi naona hakuna mtu ambaye ni perfect na Kama hakuna mtu ambaye ni perfect bhas ujue hakuna kabila ambalo ni perfect,vile vile hakuna anayekosa mazuri yake,lakin ukisikie mtu anamwambia mwenzake we mzur Sana maana yake anakufaidi kiasi kwamba amebidi akwambie wewe ni mzurNimetembea Tanzania nzima bara n.a. visiwani ila sijaona watu poa kama wajomba zangu wazaramo.
Wana upendo wa hali ya juu. Wanawaheshimu watu wote bila kujali dini zao, makabila yao, wanatoka wapi etc.
They mind their own business.
They never snitch wala hawamshangai shangai mtu hata kama ana life style tofauti na ya kwao.
Wana upendo. They are generous. Wakarimu kwa wageni. They are generally happy etc.
Wazaramo wako poa sana.
Hakuna watu poa kama wazaramo.
Ukiishi na wazaramo kwa muda mrefu unaweza ukashindwa kuishi na watu wa makabila mengine kwa sababu wazaramo wana weza kumtolerate n.a. kumchukulia mtu wa aina yoyote ile jambo ambalo watu wengine hawawezi...
Wazaramo oyeee
Wahehe/wabena oyee!
Nimewataja wabena na wahehe kwa sababu nimewahi kusimuliwa na wazee wa kizaramo kwamba asili ya wazaramo ni iringa kwenye moo za wabena na wahehe. Wakati wanakuja walipita milima.ya uluguru wakaitwa waluguru then wengine wakaja mzizima ndo hao wanaitwa wazaramo..
Bila picha mkuu?Nimetembea Tanzania nzima bara n.a. visiwani ila sijaona watu poa kama wajomba zangu wazaramo.
Wana upendo wa hali ya juu. Wanawaheshimu watu wote bila kujali dini zao, makabila yao, wanatoka wapi etc.
They mind their own business.
They never snitch wala hawamshangai shangai mtu hata kama ana life style tofauti na ya kwao.
Wana upendo. They are generous. Wakarimu kwa wageni. They are generally happy etc.
Wazaramo wako poa sana.
Hakuna watu poa kama wazaramo.
Ukiishi na wazaramo kwa muda mrefu unaweza ukashindwa kuishi na watu wa makabila mengine kwa sababu wazaramo wana weza kumtolerate n.a. kumchukulia mtu wa aina yoyote ile jambo ambalo watu wengine hawawezi...
Wazaramo oyeee
Wahehe/wabena oyee!
Nimewataja wabena na wahehe kwa sababu nimewahi kusimuliwa na wazee wa kizaramo kwamba asili ya wazaramo ni iringa kwenye moo za wabena na wahehe. Wakati wanakuja walipita milima.ya uluguru wakaitwa waluguru then wengine wakaja mzizima ndo hao wanaitwa wazaramo..
Wangekuwa wakristo wangekuwa poa zaidi. Tatizo dini ya mwarabu.Nimetembea Tanzania nzima bara n.a. visiwani ila sijaona watu poa kama wajomba zangu wazaramo.
Wana upendo wa hali ya juu. Wanawaheshimu watu wote bila kujali dini zao, makabila yao, wanatoka wapi etc.
They mind their own business.
They never snitch wala hawamshangai shangai mtu hata kama ana life style tofauti na ya kwao.
Wana upendo. They are generous. Wakarimu kwa wageni. They are generally happy etc.
Wazaramo wako poa sana.
Hakuna watu poa kama wazaramo.
Ukiishi na wazaramo kwa muda mrefu unaweza ukashindwa kuishi na watu wa makabila mengine kwa sababu wazaramo wana weza kumtolerate n.a. kumchukulia mtu wa aina yoyote ile jambo ambalo watu wengine hawawezi...
Wazaramo oyeee
Wahehe/wabena oyee!
Nimewataja wabena na wahehe kwa sababu nimewahi kusimuliwa na wazee wa kizaramo kwamba asili ya wazaramo ni iringa kwenye moo za wabena na wahehe. Wakati wanakuja walipita milima.ya uluguru wakaitwa waluguru then wengine wakaja mzizima ndo hao wanaitwa wazaramo..
Duh! umeshapiga Cannabis nini ?
Sijui umejuaje asee yani iyo ni kama kunya lazima. Halafu leo nimeipiga kwa fujo puff za kutosha kwasababu mchana tuligombana na demu wangu.Duh! umeshapiga Cannabis nini ?
Labda ingekuwa vice versa mkuu....ila wapo Wazaramo Wakristo hasa wa Maneromango.
Wasukuma wana nini?Wasukuma