Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

Jjjiwe alikuwa mgalatia 'na roho yake ya mauaji, nyie ni mashettan,wavaa kobazi ni waungwana sana
 
Wazaramo wapo poa....
Wasukuma wapo poa....
Wabena/ Wahehe/ Wakinga wapo poa.....

Wambulu na makabila yanapatikana ukanda huo + watu wa Singida.
Hawa hapana, washamba mno.
Ngumi mkononi sana, wapo tofauti na watanzania wote nahisi.

Mwalemi sito [emoji120]
 

Bro walikuotea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu sipingi kabisa kuhusu hili ni watu poa sana pia sio watu wa ugomvi sema midingi ya huko ni mivivu hatari sana!
Pia Kwa utelezi wapo poa snaaaa!!
Tulikuwa na kasumba tukisikia mwali Kwa fln tunaenda na mchele hata kg4 na sukari ewaaaah Kwa kurudi husindikizwi na mwanaume anachaguliwa binti kulingana na umri wako.wazaramo mbarikiwe sio Kwa ukarimu huo. Ingia usukumani kaka mtu akukute umesimama na dada yake halfu uwe wa kuja asee kama hutaavha mguu basi kimbia sana
 
Mdomo mchafu
Vichambo
Hata usafi wa mazingira...
Bado mkulano wa hovyo ngomani na mtaani..
Note: narejesha id ya kale utaniunga mkono?
Kwanini ulibadili? Ujue ulinipa shida kukujua 🤣🤣🤣
 
huwa baada ya miaka 2 nabadili id, this time naona imenipa changamoto, raia nao wamenigomea, pili jina limedakwa, nam..bembele aniachia kakubali pia
Hili zuri limekaa ki Pastor na hiyo bible nikajua tunafungua kanisa mdogo ako niwe mtunza hazina 😜
Kapu la sadaka na fungu la kumi nisimamie me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…