Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

Sijui umejuaje asee yani iyo ni kama kunya lazima. Halafu leo nimeipiga kwa fujo puff za kutosha kwasababu mchana tuligombana na demu wangu.

Tuachane na hayo. Ni hivi hata makabila kwaanzia wazaramo, wakwere,wandingo, ndengereko, wamatumbi na kushuka huko kusini jamiii za kimakonde wamwera, makua etc wote wangekuwa wagalatia wangekuwa poa zaidi. Tatizo dini ya mwarabu.

Magonjwa Mtambuka
Jjjiwe alikuwa mgalatia 'na roho yake ya mauaji, nyie ni mashettan,wavaa kobazi ni waungwana sana
 
Wazaramo wapo poa....
Wasukuma wapo poa....
Wabena/ Wahehe/ Wakinga wapo poa.....

Wambulu na makabila yanapatikana ukanda huo + watu wa Singida.
Hawa hapana, washamba mno.
Ngumi mkononi sana, wapo tofauti na watanzania wote nahisi.

Mwalemi sito [emoji120]
 
Ongezea wana mdomo mrefu
Wavivu kufanya kazi.
WAnadinyanyana bila nidhamu..
Wanabadilishana wanaume na wanawake kwa ile falsafa yao ya mafiga 3.

Ngoma sasa kila wiki kanga mpya ya ngomani.

Wana milo miwili...chai saa 9 jioni na ugali saa 2 usiku imetoka hiyoo

Bro walikuotea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimetembea Tanzania nzima bara n.a. visiwani ila sijaona watu poa kama wajomba zangu wazaramo.

Wana upendo wa hali ya juu. Wanawaheshimu watu wote bila kujali dini zao, makabila yao, wanatoka wapi etc.

They mind their own business.

They never snitch wala hawamshangai shangai mtu hata kama ana life style tofauti na ya kwao.

Wana upendo. They are generous. Wakarimu kwa wageni. They are generally happy etc.

Wazaramo wako poa sana.

Hakuna watu poa kama wazaramo.

Ukiishi na wazaramo kwa muda mrefu unaweza ukashindwa kuishi na watu wa makabila mengine kwa sababu wazaramo wana weza kumtolerate n.a. kumchukulia mtu wa aina yoyote ile jambo ambalo watu wengine hawawezi.

Wazaramo oyeee

Wahehe/wabena oyee!

Nimewataja wabena na wahehe kwa sababu nimewahi kusimuliwa na wazee wa kizaramo kwamba asili ya wazaramo ni iringa kwenye moo za wabena na wahehe. Wakati wanakuja walipita milima ya uluguru wakaitwa waluguru then wengine wakaja mzizima ndo hao wanaitwa wazaramo..
Mkuu sipingi kabisa kuhusu hili ni watu poa sana pia sio watu wa ugomvi sema midingi ya huko ni mivivu hatari sana!
Pia Kwa utelezi wapo poa snaaaa!!
Tulikuwa na kasumba tukisikia mwali Kwa fln tunaenda na mchele hata kg4 na sukari ewaaaah Kwa kurudi husindikizwi na mwanaume anachaguliwa binti kulingana na umri wako.wazaramo mbarikiwe sio Kwa ukarimu huo. Ingia usukumani kaka mtu akukute umesimama na dada yake halfu uwe wa kuja asee kama hutaavha mguu basi kimbia sana
 
huwa baada ya miaka 2 nabadili id, this time naona imenipa changamoto, raia nao wamenigomea, pili jina limedakwa, nam..bembele aniachia kakubali pia
Hili zuri limekaa ki Pastor na hiyo bible nikajua tunafungua kanisa mdogo ako niwe mtunza hazina 😜
Kapu la sadaka na fungu la kumi nisimamie me
 
Back
Top Bottom