Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

Ni kweli utafiti wako ni sahihi, ndugu zetu hawa kwa asilimia kubwa ni watu waliojaa ukarimu na mapenzi kwa wageni.
Ulishawahi ona mzaramo kaolewa na mtu wa bara, let say kaolewa na mtu wa mkoa mwingine na kwenda kuishi huko tofauti na Dar na mikoa ya jirani.
 
Oa mzaramo utakuja kufuta uzi wako hapa
 
Wazaramo wanapatikana wapi mana hapa mzizima hatuwaoni.

Mtoto zai alinihifadhi wakati wa dhiki.
 
Hapo kwenye Milo umesema ukweli niliwahi kuwa na jirani yangu mzaramo chai wanakunywa saa sita mchana halafu Ana watoto wadogo. Asubuhi vitoto vinatia huruma vinacheza tu,
Mama mtu kanga kifuani tu Yuko bize na kazi zake ndogo ndogo.
Ukiona kaoga akavaa gauni ujue anatoka 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…