Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

Ni kweli utafiti wako ni sahihi, ndugu zetu hawa kwa asilimia kubwa ni watu waliojaa ukarimu na mapenzi kwa wageni.
Ulishawahi ona mzaramo kaolewa na mtu wa bara, let say kaolewa na mtu wa mkoa mwingine na kwenda kuishi huko tofauti na Dar na mikoa ya jirani.
 
Nimetembea Tanzania nzima bara n.a. visiwani ila sijaona watu poa kama wajomba zangu wazaramo.

Wana upendo wa hali ya juu. Wanawaheshimu watu wote bila kujali dini zao, makabila yao, wanatoka wapi etc.

They mind their own business.

They never snitch wala hawamshangai shangai mtu hata kama ana life style tofauti na ya kwao.

Wana upendo. They are generous. Wakarimu kwa wageni. They are generally happy etc.

Wazaramo wako poa sana.

Hakuna watu poa kama wazaramo.

Ukiishi na wazaramo kwa muda mrefu unaweza ukashindwa kuishi na watu wa makabila mengine kwa sababu wazaramo wana weza kumtolerate n.a. kumchukulia mtu wa aina yoyote ile jambo ambalo watu wengine hawawezi.

Wazaramo oyeee

Wahehe/wabena oyee!

Nimewataja wabena na wahehe kwa sababu nimewahi kusimuliwa na wazee wa kizaramo kwamba asili ya wazaramo ni iringa kwenye moo za wabena na wahehe. Wakati wanakuja walipita milima ya uluguru wakaitwa waluguru then wengine wakaja mzizima ndo hao wanaitwa wazaramo..
Oa mzaramo utakuja kufuta uzi wako hapa
 
Wazaramo wanapatikana wapi mana hapa mzizima hatuwaoni.

Mtoto zai alinihifadhi wakati wa dhiki.
 
Ongezea wana mdomo mrefu
Wavivu kufanya kazi.
WAnadinyanyana bila nidhamu..
Wanabadilishana wanaume na wanawake kwa ile falsafa yao ya mafiga 3.

Ngoma sasa kila wiki kanga mpya ya ngomani.

Wana milo miwili...chai saa 9 jioni na ugali saa 2 usiku imetoka hiyoo
Hapo kwenye Milo umesema ukweli niliwahi kuwa na jirani yangu mzaramo chai wanakunywa saa sita mchana halafu Ana watoto wadogo. Asubuhi vitoto vinatia huruma vinacheza tu,
Mama mtu kanga kifuani tu Yuko bize na kazi zake ndogo ndogo.
Ukiona kaoga akavaa gauni ujue anatoka 😂😂😂
 
Back
Top Bottom