Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

Niliwahi kusikia ukimmkwaza mzaramo anaweza kukuchamba Hadi ukafa😂😂
Au huwa wanasingiziwa tu😂😂
Ukiwa na pressure usikae uzaramoni maana kuchaba ni sifa, kama mkeo hajui kuchamba achana nae,🙏 usije kufa na masononeko Bure.
 
Ningesema wazaramo ndio WATANZANIA mngeniona na Mimi mzaramo.[emoji1787]
Mi sio mzaramo ila wazaramo ndo wameifungua tanzania just imagine dar ingekua yawasukuma nzengo ingekua kila kona, kisukuma kingeongelewa had mliman city, ng'ombe wangekua wanazagaa had kariakoo[emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…