Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Mi sio mchaga lkn nimesoma O level na Advance uchagani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi sio mchaga lkn nimesoma O level na Advance uchagani
Ukitaka ndoa ya amani na kuishi bila hofu ya kuachana na kugawana nusu kwa nusu Mali zako,oa mzaram,mambo ya ngoma ya zamani Sana,sidhani Kama wanayo,sijaona kitambo mno, mzaram akiwa na uhakika wa wali samaki,maisha yanataka nini Tena!!..kaoe mchaga akuwekee dawa za kisukariWazaramo hawa hawa muda wote wanawaza kucheza ngoma? Wanawaza vigodoro? Oa mmoja uone 😀
They mind their own business!Wazaramo hawa hawa muda wote wanawaza kucheza ngoma? Wanawaza vigodoro? Oa mmoja uone [emoji3]
Ulkuwa shule gan palee.,....Mi sio mchaga lkn nimesoma O level na Advance uchagani
Kati ya hz majengo sec, Moshi tech, old Moshi & lyamungo
🤣🤣🤣🤣 wazaramo hawana hizo mkuu. Pale Msanga sokoni kuna jamaa ana bar na gesti ana jaza watu kinoma wanamuita Mwamposa. Unasikia mtu anasema " Tunaenda zetu kwa Mwamposa ' Wazaramo hawanaga mambo ya udini wala ukabila hata kidogo.Sio udini hapa ila ndio asili
"sisi wazaramo Bora utuue kuliko kuwa mkristo[emoji16]"
kwetu ukiwekwa gari picha ya yesu hupati abiria utasikia kaweka picha ya mkristo [emoji16][emoji16][emoji16]
Kiukweli watu wa Pwani mostly ni wakarimu sana , nawapenda , hawapendi sharii wenyewe ni maneno na madongo basiiWatu wa pwani wote hao tuko fresh tu sema kuna changamoto tu flani flani za kiufundi
Mmh ..msukuma anakusaidi then anaenda kukusema alivyokusaidia pumbafuuuu!Wasukuma wako poa ila wana ile.kumshangaa shangaa mtu. Ila generally ni watu poa sana
Mm nlhamia Lyamungo nikitokea nsumba....Kati ya hz majengo sec, Moshi tech, old Moshi & lyamungo
Utakuwa na roho mbaya sana na mbinafsi. Hapo Wazaramo lazima wakutengeWachoyo...