Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

Hivi Tanzania kuna watu poa kama wazaramo? Ukiishi na wazaramo huwezi kuishi na kabila jingine lolote lile

Wazaramo hawa hawa muda wote wanawaza kucheza ngoma? Wanawaza vigodoro? Oa mmoja uone 😀
Ukitaka ndoa ya amani na kuishi bila hofu ya kuachana na kugawana nusu kwa nusu Mali zako,oa mzaram,mambo ya ngoma ya zamani Sana,sidhani Kama wanayo,sijaona kitambo mno, mzaram akiwa na uhakika wa wali samaki,maisha yanataka nini Tena!!..kaoe mchaga akuwekee dawa za kisukari
 
Sio udini hapa ila ndio asili
"sisi wazaramo Bora utuue kuliko kuwa mkristo[emoji16]"
kwetu ukiwekwa gari picha ya yesu hupati abiria utasikia kaweka picha ya mkristo [emoji16][emoji16][emoji16]
🤣🤣🤣🤣 wazaramo hawana hizo mkuu. Pale Msanga sokoni kuna jamaa ana bar na gesti ana jaza watu kinoma wanamuita Mwamposa. Unasikia mtu anasema " Tunaenda zetu kwa Mwamposa ' Wazaramo hawanaga mambo ya udini wala ukabila hata kidogo.

Kwanza kwa jinsi walivyo oblivion anaweza hata akawa hajui kutofautisha jina la kikristu na la ki islamu.

Pale Maneromango kuna mission tangu miaka ya 1800 kuna wazaramo wakristu.

Yvonne Cherry a.k.a Monalisa tule muigizaji ni mzaramo mkristu
 
Back
Top Bottom