Angalia kofia anazovaa Mchengerwa
😁😁😁😁 watu mnafuatilia mambo balaaa
Hapo ni kujitenga na Ulimwengu. Asilimia kubwa ya wananchi wa North Korea wanakufa na njaa. Wanakula majani. Bajeti yote ya nchi inaenda kwa viongozi, familia zao, jeshini, polisi, usalama, kukandamiza haki za raia. Serikali ya Samia inaelekea huko. Hivyo ndivyo vipaumbele vya Samia.Korea ya Kim ni rafiki wa Tanzania tokea ukombozi wa yaliyokuwa makoloni nchi za Africa enzi za Mwl.Nyerere.
Kama mbabe Putin kakwama vita vya Ukraine kamkimbilia kiduku amsaidie,iweje nongwa kama Tanzania itaomba msaada wa kijeshi.
Tumeanza?Korea hapo tumeanza kupotea njia ile nchi ya kidkteta na wananchi wake ni maskini
Nikwambie kitu..wewe huna akili..empty set kabisaTumeanza?
Hao ni rafiki zetu tangu enzi za Nyerere.
Tuli yokuwa wadogo Upanga miaka ya 1980s kuna watoto chipukizi wa CCM walienda North Korea kwenye halaiki.
Tulikuwa tunakwenda pale karibu na jengo la Umoja wa Vijana kulikuwa kuna Korean Cultural Center watu walifanya concerts sana, walijifunza muziki pale.
Ukusoma kitabu cha Mwinyi anaelezea jinsi alivyofanya mradi mubwa wa mashamba ya mpunga na Wakorea.
Hatujaanza leo, hawa ni marafiki wa CCM tangu enzi za Kim Il Sung, Babu yake King Jong Un, na Nyerere.
Mchaga wa kwanza asiye na akili!😂😂😂Korea ni Nchi masikini ( alisikika Takataka ya Chadema)
Nchi masikini inarusha makombora ya ICBM kila kukicha??
Hivi nyie panya mmewahi kufika korea???
Korea kaskazini ni nzuri kuzidi hata Mataifa kibao ya Ulaya
Tanzania inaweza kutenga bajeti 70% kutengeneza nuclear weapons, 25% kwa viongozi wa serikali na vyombo vya usalama, propaganda, 5% iliyobaki kwenye elimu, afya, miundombinu nk.Korea ni Nchi masikini ( alisikika Takataka ya Chadema)
Nchi masikini inarusha makombora ya ICBM kila kukicha??
Hivi nyie panya mmewahi kufika korea???
Korea kaskazini ni nzuri kuzidi hata Mataifa kibao ya Ulaya
CCM wanataka kuiingiza hii nchi katika matatizo kwa NATO na EUHii ni nchi ambayo inakatiba ya kidemokrasia Rais wa nchi ya Tanzania kujihusisha na dikteta kama huyu sio kutendea haki nchi yetu
Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kimjong Un (Korea Kaskazini)??
Wanatafuta ugomvi na NATO + EUAngalia kofia anazovaa Mchengerwa
NATO/EU are watchingHistoria ya korea kaskazini na tanzania imeanza jan 1965 kati ya mwalimu nyerere na kim thai hai wa korea kaskazini..
LAKINI TAKATAKA NDO ZINAONA KUWA USHIRIKIANO WA MAJUZI.
WATU KAMA HAWA NDO WANASABABISHA UPINZANI UONEKANE NI UTAHIRA.Nikwambie kitu..wewe huna akili..empty set kabisa
North Korea Sio nchi Kwa Sasa Bali Ni jehanam...nyie endeleeni kuunga mkono ishenzi Wa NKorea