Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kim Jong Un (Korea Kaskazini)

Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kim Jong Un (Korea Kaskazini)

Korea ya Kim ni rafiki wa Tanzania tokea ukombozi wa yaliyokuwa makoloni nchi za Africa enzi za Mwl.Nyerere.
Kama mbabe Putin kakwama vita vya Ukraine kamkimbilia kiduku amsaidie,iweje nongwa kama Tanzania itaomba msaada wa kijeshi.
Hayo yote yameisaidia nini Tanzania?
 
Hiki ndio kiherehere hadi huko ‘United Kingdom’, na ‘U.S’ kuna Embassy ya ‘North Korea’ na nchi kibao za Europę.

Ugomvi wao has nothing to do na third world ni historical, at one point ‘’Korea’ ilikuwa sehemu ya China.

Fitna za US, Korea ikajitenga na China.

Kwenye kugombania influence ya Korea baada ya China; na kwa fitna za US ndio msingi wa Korea war na kugawanyika kwa nchi.

Wazungu wenyewe mainly (U.K) wana mchango mkubwa sana wa kwenye ku destabilise China culture, kuondoa monarchy, kutengeneza social uproar, wachina kuanza kujiunga upya kwa njia za kuumizana, Comminity ku-compromise hadi kufukia walipo leo.

You do know, Gorbachev alikuwa kwenye Ziara China kwenye ziara; ndio ‘Red Revolution’ ilipoanza.

Namna alivyoona serikali ya China ilivyotumia nguvu kuiweka nchi sawa; hatukstaka kuona USSR itumie nguvu kama China kwa kupoteza maisha ya watu kisa kutetea failed ‘communism policy’. Ndio sababu moja ya kuvunjika kwa USSR (of course na propaganda za wazungu).

Kwa kifupi tunadhani uhusiano wetu na wachina, Korea au Russia ni concern kwa wazungu; unless kwa narrative zao za national security.

Wauzie ‘’North Korea’ uranium, hapo ndio tatizo; kuja kwenye mkutano wako sio kitu cha kuwanyima usingizi.

If anything ni watu ambao, wana support serikali za hovyo, kwa jicho la western democracy. But the.n umaskini wetu sio shida zao.

Ugomvi hao watu ni historically, sio wa kujipendekeza tu bila ya kuangalia maslahi yako,
 
Historia ya korea kaskazini na tanzania imeanza jan 1965 kati ya mwalimu nyerere na kim thai hai wa korea kaskazini..

LAKINI TAKATAKA NDO ZINAONA KUWA USHIRIKIANO WA MAJUZI.
Kim thai hai???? You sure? Hakuna rais wa N. Korea mwenye jina kama hilo.
Uhusiano kati ya N.korea na Tanzania ulianzishwa na Kim il Sung na JK Nyerere.
please, be informed accordingly.
 
Korea ya Kim ni rafiki wa Tanzania tokea ukombozi wa yaliyokuwa makoloni nchi za Africa enzi za Mwl.Nyerere.
Kama mbabe Putin kakwama vita vya Ukraine kamkimbilia kiduku amsaidie,iweje nongwa kama Tanzania itaomba msaada wa kijeshi.
Tuache unafiki tufungue ubalozi basi
 
Hii ni nchi ambayo inakatiba ya kidemokrasia Rais wa nchi ya Tanzania kujihusisha na dikteta kama huyu sio kutendea haki nchi yetu

Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kimjong Un (Korea Kaskazini)??
Huyo ni rafiki wa Ccm tu.
 
Korea ni Nchi masikini ( alisikika Takataka ya Chadema)

Nchi masikini inarusha makombora ya ICBM kila kukicha??

Hivi nyie panya mmewahi kufika korea???

Korea kaskazini ni nzuri kuzidi hata Mataifa kibao ya Ulaya
Ukitaka kujua ni masikini ni hakuna hata anaeenda huko
 
Hapo ni kujitenga na Ulimwengu. Asilimia kubwa ya wananchi wa North Korea wanakufa na njaa. Wanakula majani. Bajeti yote ya nchi inaenda kwa viongozi, familia zao, jeshini, polisi, usalama, kukandamiza haki za raia. Serikali ya Samia inaelekea huko. Hivyo ndivyo vipaumbele vya Samia.

Tanzania siku zote imekuwa nchi kiongozi Afrika na duniani kupitia Non Aligned Movement. Nchi zisizofungamana na upande wowote.
Wewe unaushaidi gani kuwa Korea wanakufa njaaa au ndio umemeza Propaganda za West
 
Hiii ndio Korea mnadanganywa wanakufa njaa!!!!
188.-Mirae-Scientists-Street1.jpg
 
Korea ni Nchi masikini ( alisikika Takataka ya Chadema)

Nchi masikini inarusha makombora ya ICBM kila kukicha??

Hivi nyie panya mmewahi kufika korea???

Korea kaskazini ni nzuri kuzidi hata Mataifa kibao ya Ulaya
Pakistan wanayo hadi makombora ya nuclear ila bado ni taifa masikini.
 
Nasikia kuna nchi moja ya ulaya waliwapa wakorea mkopo wa magari kibao.

Ile muda wa kulipa deni ulipofika, jamaa wakituma email kiduku anakaa kimya hajibu
Ni wezi balaa, wana hadi kitengo maalumu cha wizi mtandaoni kinachomilikiwa na serikali.
 
Back
Top Bottom