James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 9,529
- 16,291
Kuna mahala nilisoma kuwa walilipa baadaye sana. Sema Volvo waliendelea kuwatumia hizo gari.
Kuna mahala nilisoma kuwa walilipa baadaye sana. Sema Volvo waliendelea kuwatumia hizo gari.
Rejea matukio ya tanzania na north korea ya january 1965 utaelewa ninachokwambiaW
Wala N. Korea hakuna mtu mwenye jina kama hilo.
Wachaga wote ukitia ndani mwamba wameikimbia chadema.Hawezi kuwa mchagga. Huyo ni jina tu amejipa kuwananga chadema. Na sasa hao wachagga hawapo chadema sijui atafanyaje na hilo jina🤣🤣
Rejea matukio ya tanzania na north korea ya january 1965 utaelewa ninachokwambia
Kupambana na wanyoyaji,na wale wasioitakia Tanzania amani kama nchi huru.Mkuu msaada wa kijeshi Tanzania kupigana na nani???
Mimi nikikua kijana mdogo nakumbuka kwenye passport ya Tanzania ulikuwa hurusiwe kwenda nchi tatu ikiwemo Korea ya Kusini.Lakini Korea kaskazini ya Kim aka Kiduku tulikuwa na ubalozi.Hata pale Lumumba karibu na Tanzania Region jumbo la maaskari waliopigana vita pili na makao ya vijana wa CCM kulikuwa na jumbo la utamaduni wa North Korea.Nadhani tuna ubalozi kwao na wao kwetu.Hata vita vya Kagera mchango wao huwezi kuupuzia.Maswali ya Korea ya Kiduku na Tanzania mtu sahihi wa kumuuliza ni Jenerali Ulimwengu aliwahi kutuwakilisha nchi yetu kiserikali na kukutana na babu wa kiduku Kim,Mungu mtu.Tuache unafiki tufungue ubalozi basi
Mkuu nani kazuia jeshi kupambana na wanyonyaji??Kupambana na wanyoyaji,na wale wasioitakia Tanzania amani kama nchi huru.
Tanzania sio koloni la Kenya wala mkoa wa Kenya.
Nadhani tuanzie hapo.
Mkuu kikatiba Tanzania ni nchi ya kijamaa.Mkuu nani kazuia jeshi kupambana na wanyonyaji??
Ni lini taifa la kigeni limetuzuia Tanzania kutekeleza mipango na bajeti???
Hivi Mkuu wanyonyaji ni viongozi wetu au wageni wanaoingia nchini kwa kufuata sheria zetu???
Vita ya Kagera,kilimo cha mpunga, mambo mengi sana.Hayo yote yameisaidia nini Tanzania?
Korea ya Kaskazini ni marafiki wa nchi yetu kisiasa, kidiplomasia, nakadhalika.Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kimjong Un (Korea Kaskazini)??
Aloooh watu wanafuatilia sana mambo...angalia hilo swali linaulizwa na chap Erythrocyte ametoa uelekeo..ina maana alikua anajua toka mda!😁😁😁😁 watu mnafuatilia mambo balaaa
Mkuu kwani wanaofanya deals na wanaouza nchi na rasilimali zetu ni wa Kenya au ni watanzania wenzetu??Mkuu kikatiba Tanzania ni nchi ya kijamaa.
Pili Tanzania sio koloni au mkoa wa Kenya.
Tatu Tanzania haitageuka kama Congo ya kibaraka Tshombe na Kasabubu.Wenye ndoto hizo wasahau.
Fanyeni plain tangible politics for the people by the people to the people sio deal za kuuza nchi kwa mabeberu.
Kwa kukusaidia fundi mkuu na mbobezi tokea enzi za Kishoka katibu mkuu Stalin kiongozi mkuu wa USSR yaani Soviet alikuwa Ukraine hadi Soviet inavunjika na hata baada ya kuvunjika Russia ilimtegemea Ukraine kwenye tekinogia za nuclear, anga,na mambo mengi.Hata walimu waliotumwa kufundisha nchi rafiki na Soviet walitokea Ukraine.Kwahiyo huko Dodoma mmekubaliana Putin kakwama vita na Ukrane.?
Haina haja hata ya kukuelewesha putin hapigani na Ukrane bali dunia nzima(kasoro China NK nna South A.., na bado yuko vitani na kateka maeneo anayashikilia..
Mkuu jiongeze mchana kweupe,ikishindikana fanya subira majibu yapo mezani.Mkuu kwani wanaofanya deals na wanaouza nchi na rasilimali zetu ni wa Kenya au ni watanzania wenzetu??
Ebu fikiria vizuri maana umekazana na Kenya kama vile kuna mahali CAG wetu kasema Kenya inahusika kwenye madudu yanayotekea nchi hii!
Mkuu acha kuota ndota ya mchana, vita ya Uganda imetuhenyesha mpaka sasa tunaenda ulalo ulalo ndio uje kulianzisha na Kenya an economic super house ya east and central Africa.Mkuu jiongeze mchana kweupe,ikishindikana fanya subira majibu yapo mezani.
Wewe unachekesha sana,nakuacha uwendelee na majibu mngando.Mkuu acha kuota ndota ya mchana, vita ya Uganda imetuhenyesha mpaka sasa tunaenda ulalo ulalo ndio uje kulianzisha na Kenya an economic super house ya east and central Africa.
Hapa unahalucinate, tunaweza kutekana wenyewe kwa wenyewe humu nchini, sio nje ya hapo that is the bitter truth.
Je unafahamu kuwa Kenya ni nchi ya kwanza Africa na ya pili duniani kwa uwekezaji wa nchi za kigeni Tanzania??
Umepima hasara hiyo wakijitoa???
Je wajua sisi tunaigharamia bajeti yetu ya mwaka kwa asilimia 60% tu, inayobaki ni mikopo na msaada kutoka nje tofauti na Kenya wanao gharama bajeti yao kwa asilimia 100%???
Mkuu hapa hakuna vita, unajitekenya tu. Endelea kujifurahisha!
TumepoteanaHii ni nchi ambayo inakatiba ya kidemokrasia Rais wa nchi ya Tanzania kujihusisha na dikteta kama huyu sio kutendea haki nchi yetu
Hivi Tanzania tunamwelekeo gani kumwalika mwakilishi wa Kimjong Un (Korea Kaskazini)??
Mwamba umenikumbusha yule spikaUko sawa, boss. Nimekosa mimi, nimekosa sana, nisamehe mimi